Godoro la kioo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 456
- 1,003
Mbona anabondwa tu huyo DalmaxWasalam. Huyu jamaa Kila nikigusa naambulia kichapo
Ushindi wangu sare.
Kuna yeyote mwenye ujuzi atupe mbinu
LipoHivi dalmax bado lipo, playstore silipati
Kuna lile la kirusi mademu ukishawafunga wanavua nguoLipo
Hivi dalmax bado lipo, playstore sili
Lipo sema playstore washaliondoa sijui hata kwa niniHivi dalmax bado lipo, playstore silipati
Mimi ndo mwenye hiyo nyekunduwa kawaida huyo, tena kwa kete 3 ana pasuka chap.
Usi mruhusu akae huo mstari wa kete nyekundu, jifunze formula ya kete 3.
Dah una safari ndefu, tafuta draw kwanza ndio ufikirie kumfunga.Mimi ndo mwenye hiyo nyekundu
ewe mwanachama makini wa jobless pro max, acha nyeto ndugu yangu.Kuna lile la kirusi mademu ukishawafunga wanavua nguo
ntalipataje?
Nalipataje rais wetu wa ma joblessewe mwanachama makini wa jobless pro max, acha nyeto ndugu yangu.
Lina itwa Russian strip checker, litakuwepo Google chrome.Nalipataje rais wetu wa ma jobless
kuhusu nyetoo..tuliache kwa leo!
Mnalipatia wapi?Lipo sema playstore washaliondoa sijui hata kwa nini
Mimi nilikuwa nalo kabla hawajaliondoa kwa sahivi sijui unalipataje ila wengine Huwa nawatumia kwenye whatsapMnalipatia wapi?