Naamini humu kuna watu wengi wa sehemu mbalimbali. Binafsi sijawahi kuiamini hii michezo ya Tatu Mzuka, Biko, kwamba watu wanashinda mamilioni! Hivyo kama kuna yeyote humu amewahi kushinda au ndugu, rafiki wa karibu amewahi kushinda hizo milioni zinazotangazwa (tofauti na vocha za buku) tujuzane maana elimu haina mwisho.