Kuna yeyote humu amewahi kushinda mamilioni ya michezo ya bahati nasibu?

Kuna yeyote humu amewahi kushinda mamilioni ya michezo ya bahati nasibu?

Mbwa dume

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
5,934
Reaction score
10,206
Naamini humu kuna watu wengi wa sehemu mbalimbali. Binafsi sijawahi kuiamini hii michezo ya Tatu Mzuka, Biko, kwamba watu wanashinda mamilioni! Hivyo kama kuna yeyote humu amewahi kushinda au ndugu, rafiki wa karibu amewahi kushinda hizo milioni zinazotangazwa (tofauti na vocha za buku) tujuzane maana elimu haina mwisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom