Kuna yule Chawa wa Kuitwa Zack Abdul sijui. Aione hii.

Hivi ndivyo "check & balance" inatakakiwa kufanya kazi katika mihimili mitatu. Hapa kwetu "executive" imejichimbia katika mingine kiasi kwamba Bunge na Mahakama zinaufyata mbele yake.
 
Ameitwa chawa Zack, chawa Taahilah umekuja fasta, au wewe ndo chawa wa zamu nini!?πŸ˜‚πŸ˜‚
Gentleman,
kwani hili ni jukwaa la aileitwa, alietoa hoja au wewe pekeyako?

si angemtumia ujumbe DM na sio kwenye jukwaani huru?

hizo porojo za unyumbu, ufuata mkumbo au uchawa ni useless tu kwangu gentleman politically speaking πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…