Kunaibuka kizazi ambacho baadhi ya watu wamwekuwa wakishabikia upuuzi wa kwenye mitandao ya kijamii kuliko masuala ya muhimu

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Fikiria suala la Pididdy lilivyowachukulia muda wao kulijadili kuluko hata kujadili suala muhimu la kilimo na elimu.

Sasa hivi kichwani mwao ni suala la Baltsar Engonga. Kana kwamba ni wapuuzi wanaoshinda kudadadavua mambo

Hawajui kuwa sayansi na technolojia ipo juu kiasi kwamba hata picha mjongeo zinaweza kutengezwa?

Mbaya zaidi hata walimu waliosoma nao wanashadidia huu upuuz.
 
Kwa hiyo wewe ndiyo umewajua leo
Mbona husemi Simba na yanga?
Cha msingi wewe fanya maisha yako achana nao
Kuandika hapa haitawabadilisha
 
Yote haya wa kulaumiwa ni CCM! Hiki ndicho kiwanda kikubwa cha kuzalisha watu wajinga nchini.
 
Fikiria suala la Pididdy lilivyowachukulia muda wao kulijadili kuluko hata kujadili suala muhimu la kilimo na elimu.

Sasa hivi kichwani mwao ni suala la Baltsar Engonga. Kana kwamba ni wapuuzi wanaoshinda kudadadavua mambo

Hawajui kuwa sayansi na technolojia ipo juu kiasi kwamba hata picha mjongeo zinaweza kutengezwa?

Mbaya zaidi hata walimu waliosoma nao wanashadidia huu upuuz.
Mpuuzi mmoja wapo ni wewe kwa vile umeamua kuliandika jambo hilo tena humu JF.

NYANI HAONI KUNDU LAKE
 
Fikiria suala la Pididdy lilivyowachukulia muda wao kulijadili kuluko hata kujadili suala muhimu la kilimo na elimu.

Sasa hivi kichwani mwao ni suala la Baltsar Engonga. Kana kwamba ni wapuuzi wanaoshinda kudadadavua mambo

Hawajui kuwa sayansi na technolojia ipo juu kiasi kwamba hata picha mjongeo zinaweza kutengezwa?

Mbaya zaidi hata walimu waliosoma nao wanashadidia huu upuuz.

Ukweli inasikitisha sana kwani ukifuatilia michango ya watu kwenye baadhi ya masuala ya kawaida kabisa na ya kimataifa; unajiuliza hawa ndio watu wanatakiwa watupe mapinduzi ya Sayansi na Technologia?
 
Back
Top Bottom