Kunakitu sio bure UDOM

Ilonza

Senior Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
119
Reaction score
13
Leo siku ya tatu college nzima education hamna maji. Hii noma.
 
Gomeni na nyie mfukuzwe si ndio Serikali mlioipigia kura inavyotaka . . . . !
 
Mbona wenzenu wa College of Health and Allied Sciences wamezoea?? Hawana maji toka wahamie kwenye majengo yao miezi 9 iliyopita!! Wanajifunza afya kwenye mazingira machafu na hatarishi
 
Mbona wenzenu wa College of Health and Allied Sciences wamezoea?? Hawana maji toka wahamie kwenye majengo yao miezi 9 iliyopita!! Wanajifunza afya kwenye mazingira machafu na hatarishi
are u serious?
 
sema maji wanachota mbali bana mimi hua naenda mara kwa mara hutembea kama mita 800 mpaka 1km kufata maji sumtime huletewa na magari ya kichina na muda mwengine yanatoka. Tuongee reality tusipende kukuza mambo
 
Mbona wenzenu wa College of Health and Allied Sciences wamezoea?? Hawana maji toka wahamie kwenye majengo yao miezi 9 iliyopita!! Wanajifunza afya kwenye mazingira machafu na hatarishi
Hee!kumbe kuna watu wanasoma MD udom?sasa hzo lab na wards za kuvisit zko wapi?au nao watakuwa madaktar wa vitabu,udom kuna raha sana.
 
Hee!kumbe kuna watu wanasoma MD udom?sasa hzo lab na wards za kuvisit zko wapi?au nao watakuwa madaktar wa vitabu,udom kuna raha sana.
yani serikali inatengeneza bomu ambalo,moto wake utakua ni kilio kwa watz wengi,con haja ya udom kuwa na makozi mengi hvo yacyokua nyenzo za kujfunzia.
 
Chuo cha proganda hicho,gomeni tu,magamba watawadhurumu mpaka lini haki zenu.
 
maji kama yanapatikana mita 800 hadi km 1 mara kuletewa na magari ya kichina , hilo tayari ni tatizo
 
ilonza sio mwanafunzi wa udom, ni mlinzi.
Acha majungu leo siku ya tatu amna maji college nzima. Jana wanafunzi waliyachota kwa wajacilia mali km 2. Lengo lao ili na sisi tugome.
 
Acha majungu leo siku ya tatu amna maji college nzima. Jana wanafunzi waliyachota kwa wajacilia mali km 2. Lengo lao ili na sisi tugome.
chuo kinapaswa kufungwa....ili kuepuka milipuko ya magonjwa.....mambo haya ya maji yalifanya mwaka fulani mtu apoteze maisha udsm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…