Kunakitu sio bure UDOM

Kunakitu sio bure UDOM

Mbona wenzenu wa College of Health and Allied Sciences wamezoea?? Hawana maji toka wahamie kwenye majengo yao miezi 9 iliyopita!! Wanajifunza afya kwenye mazingira machafu na hatarishi
ndo hao madaktari wanakuja kuwa na ethics za ajabu sana wanaweza kuwa wanatumia gloves kwa mgonjwa zaidi ya mmoja bila kujali maambikizi
 
kusoma hapo jamani sio favour ni haki yenu jamani ........mtaishije bila maji????????????????? you fool folks??????????????????????????????
 
Hee!kumbe kuna watu wanasoma MD udom?sasa hzo lab na wards za kuvisit zko wapi?au nao watakuwa madaktar wa vitabu,udom kuna raha sana.
ukitaka kujutia muda wako kasome udom.......Ni zaidi ya high school
 
Wanafunzi wa social mulifanya vema kwani uku coed sasahivi hakukaliki nduguzangu.
 
Udom will b stable after 10 years........
Hata degree zake zitakua valid after 20 years
 
Nakwambia senetor.....chuo kimeanza bila maandalizi.....hakuna wahadhiri wa kutosha...hakuna huduma muim ndio km maji,,,,,hakuna field.....so hiko ndio chuo gani??????shahda hizo zitakubalika wapi?????
acha masihara mkuu.khaaaa
 
Back
Top Bottom