ndo hao madaktari wanakuja kuwa na ethics za ajabu sana wanaweza kuwa wanatumia gloves kwa mgonjwa zaidi ya mmoja bila kujali maambikiziMbona wenzenu wa College of Health and Allied Sciences wamezoea?? Hawana maji toka wahamie kwenye majengo yao miezi 9 iliyopita!! Wanajifunza afya kwenye mazingira machafu na hatarishi
ukitaka kujutia muda wako kasome udom.......Ni zaidi ya high schoolHee!kumbe kuna watu wanasoma MD udom?sasa hzo lab na wards za kuvisit zko wapi?au nao watakuwa madaktar wa vitabu,udom kuna raha sana.
ilonza sio mwanafunzi wa udom, ni mlinzi.
yupo mke wangu hapo,sijui anaishije...poleni sana shemeji zangu!leo siku ya tatu college nzima education hamna maji. Hii noma.
acha masihara mkuu.khaaaaUdom will b stable after 10 years........Hata degree zake zitakua valid after 20 years
acha masihara mkuu.khaaaa