Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,172
KUna dawa moja kubwa ya tatizo lako-acha ko-do, kamwe hautatoka jasho tena kitandaniWakati wa ku-do sex, jaman mwenzenu huwa natokwa na jasho jingi kupitilza mwil mzima hadi shuka huwa znakuwa ka zmemwagiwa maji, ivi leo nina bed match, nimetoka bafuni baada ya 3rd scoring kuuacha mwil ukiwa tepe tepe kwa jasho, suluhisho kwa hili ni nn?
usikute hata unapofikia mshindo unaishia na kujamba kabisa kama sio kujinyea!
mi nafikiri kamuone daktari litakuwa ni tatizo la kiafya sio bure. pole sana.
hadith yko inatufundisha nn
KUna dawa moja kubwa ya tatizo lako-acha ko-do, kamwe hautatoka jasho tena kitandani
Kwani bao la pili unachukua mda gani? au unakua na firaha sana unapoahidiwa mechi mpaka unapitiliza,ebu jaribu kufanya kama jambo la kawaida na wala usiweke kwenye akili yako lile neno atanitambua leo halafu uangalie.....akaa! mpaka shuka zinakua kama zimetiwa maji unatwanga makopa au mpunga mwenzetu? pole pole utamumiza huyooo....