Kunako 'faragha' hili limekaaje....?

Kunako 'faragha' hili limekaaje....?

Wakati wa ku-do sex, jaman mwenzenu huwa natokwa na jasho jingi kupitilza mwil mzima hadi shuka huwa znakuwa ka zmemwagiwa maji, ivi leo nina bed match, nimetoka bafuni baada ya 3rd scoring kuuacha mwil ukiwa tepe tepe kwa jasho, suluhisho kwa hili ni nn?
KUna dawa moja kubwa ya tatizo lako-acha ko-do, kamwe hautatoka jasho tena kitandani
 
mi nafikiri kamuone daktari litakuwa ni tatizo la kiafya sio bure. pole sana.
 
Jaribu kugongea kwenye chumba chenye ac uone inakuwaje ile guest unayoenda pale kwa mtogole haifai
 
Kwani bao la pili unachukua mda gani? au unakua na firaha sana unapoahidiwa mechi mpaka unapitiliza,ebu jaribu kufanya kama jambo la kawaida na wala usiweke kwenye akili yako lile neno atanitambua leo halafu uangalie.....akaa! mpaka shuka zinakua kama zimetiwa maji unatwanga makopa au mpunga mwenzetu? pole pole utamumiza huyooo....

bao la pili natumia dakika 40 mpaka 55.
 
Duh!namuonea huruma huyo mpenzi wako,sasa unafanyaje mapenzi na jitu limeloa mijasho namna hiyo?tatizo lenu picha za pono zinawaharibu mapenzi hayafanywi hvyo unamkera mwenzio sema tu afanyaje,badilika bwana acha ujinga!
 
Huku nako kuna mengi. Siredi km hizi nashauri zifungwe mchana alafu zifunguliwe ucku ili vijana wetu wale wa kibongo flava wasiingie
 
Hauna tatizo lolote hilo jasho ni nguvu halisi unayoitumia jua mzunguko mmoja ni sawa na kutembea km8 kwa miguu
 
khaaaaaaa uwe na taulo au khanga ujifute katikati ya mechi......hakuna kitu kinaboa kama mtu anayetiririka mijasho chapachapa kwenye mechi......
 
Back
Top Bottom