Kunan wary kazi yao n kuombwa tu wao hawaombi...

Kunan wary kazi yao n kuombwa tu wao hawaombi...

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Ukiona uko lwenye mahusiano ya aina hii amsha akili zako

Kuna watu kwenye ndoa hawajui kuomba tendo la ndoa yaan mpaka useme wewe naomba

Kamwe hutaona wakisema can I make lve

Hawa wao n kuombwa tu na ktk kuombwa mara wakupe ama wakunyime


Ukiona uko kwenye mahusiano ya aina hii amshaakilizako na wewe ummisi kama wiki nzima kaa kimya na wewe mpotezee wiki mbili zinazofwata

Poleni waathirika wote wajanga la kuomba pekeyenu na kunyimwa

Bado mna nafasi nyingine
 
Hivi huwa unakuwa na haraka ya wapi?

Screenshot_20240920_064520_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom