Kunani chuo cha KCMC?

Kunani chuo cha KCMC?

Joined
Jul 15, 2014
Posts
5
Reaction score
0
Napenda kuchukua nafasi hii kuwajuza wazazi,walezi na wanafunzi juu ya sintofahamu hii ya suala la ongezeko la ada chuoni kcmc.

Jana kulikuwa na college baraza na majibu ya viongozi wa serikari ya wanafunzi chuoni yalikuwa ni kwamba TCU wamekiandikia chuo barua kusitisha ongezeko la ada na pia walionana na mkuu wa mkoa naye amemtuma afisa elimu mkoa kuonana na waziri wa elimu.

Hivyo haijajulikana mpaka sasa kama wanafunzi watalipa ada ya sasa kwa mwaka wa masomo ujao au hii mpya?

Naomba wewe kama mzazi,mlezi au mwanafunzi unataka soma chuoni kcmc ujipange na ongezeko la ada sh mil 2 au tafuta chuo kingine maana nina uhakika ikishindikana kuongeza ada muda huu basi wataongeza hata mwakani.
 
ok.fanya iv naomba unitumie angalau vitano vinavyo chukua pharmacy pliiiz.
 
Kampala international university,Muhimbili,St.John's,
 
Jaman napenda kuuliza ufaulu kcmc wanachukua kuanzia ngap nijue napenda munifafanulie wapendwa

unataka course ipi? ila kama unataka medicine inahitaji ufaulu wa juu kutokana na kuwa na competition kubwa, mfano mwaka jana 2013 walichukuliwa mwisho wenye cut off points mwisho 7
 
Back
Top Bottom