ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Manda ya nyongeza,nawapoteza kny map,weuc mkicheza malcom atawaelekeza kurap.Nikifoka hwafok,hatar wanagwaya,niki n mbish,mpok ni bepar wa khayaa!(baba malcom nomaaa)
hii n track gan mkuu... namkubal sana baba malick
Ni mkufunzi wa nin huyo jocket
Niki/artist wa pili mwanafunzi wa masters UDSM na mkufunzi jokate mwegilo /modal wamekuwa wakionekana pamoja mara nyingi, na jana tu walikuwa pamoja coco beach. Kiukweli hatufahamu kinachoendelea, kama ni wapenzi basi wajitangaze tujue.... Au they r just working
warumi yuko chimbo anamfukunyua mtu,subiri anakuja kama sister p
mungu nijalie dem mpenda pesa
asinepende mimi apende verosa
wanaomegewaka weng ndio ki2 wamekosa