Kunani Jokate na Nicki wa Pili

Kunani Jokate na Nicki wa Pili

Status
Not open for further replies.
Hayo mambo yao binafsi yanawahusu nini?kwa nini tusiangalie mambo yetu hasa ya maendeleo?wakiwa wapenzi inasaidia nini kwa maendeleo yako au ya Taifa?mambo binafsi zaidi!

Kama hayo unayozungumza yana msingi kulikuwa na haja gani ya kuwa na celebrity forum ili tuwajadili?
 
kupendana wapenadane wao, kukaa wakae wao, THREAD UFUNGUE WEWE?? MBONA MAJANGA?? snura mi luv u mingi!
 
Wewe naye acha umbea ushakuwa Mtu mzima

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mh! Jamani tumezidi, wewe na mpenz wako mmejitangaza? Sio vizuri waache watoto wa watu lol.... Watu wakipendana shida, wakipatana shida... Heee
 
Papuchii ya jokate ka ya mtoto mchanga nini, mana wanavoshoboka kina Fa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom