Nokla
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 3,190
- 1,774
Hayo mambo yao binafsi yanawahusu nini?kwa nini tusiangalie mambo yetu hasa ya maendeleo?wakiwa wapenzi inasaidia nini kwa maendeleo yako au ya Taifa?mambo binafsi zaidi!
Kama hayo unayozungumza yana msingi kulikuwa na haja gani ya kuwa na celebrity forum ili tuwajadili?