The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Mbona kama vile umeuliza swali na kumalizia na jibu!? Au ndio style yako ya uwasilishaji!?Baba yenu sijui uzee sijui macho yangu. Katika pita pita yangu sioni ndugu zetu wa kihindi wakimuaga jemadari shujaa wetu John Pombe Magufuli kama wanyonge au kwa vile wao si wanyonge. Si Dar, Zenj na sasa Mwanza, sioni ndugu hawa wanaosifika kufaidi uchumi wa nchi yetu japo si kwa sana kipindi hiki cha Magufuli.
Vyovyote mradi nimewasilisha. Read between the lines.Mbona kama vile umeuliza swali na kumalizia na jibu!? Au ndio style yako ya uwasilishaji!?
Tukimaliza kuzika, tutaanza kuwashugulikia mmoja mmoja!!Baba yenu sijui uzee sijui macho yangu. Katika pita pita yangu sioni ndugu zetu wa kihindi wakimuaga jemadari shujaa wetu John Pombe Magufuli kama wanyonge au kwa vile wao si wanyonge. Si Dar, Zenj na sasa Mwanza, sioni ndugu hawa wanaosifika kufaidi uchumi wa nchi yetu japo si kwa sana kipindi hiki cha Magufuli.
Natamani ingekuwa maiti yako na ukoo wako wote ingefurahisha. Hao siyo mazezeta kama wewe baba yako mama yako na ukoo mzima mwanangu. Umeniudhi kiasi cha mwenembago kupanda nikatukana. Umefanya nitamani Mtikila aka Tikila afufuke na kuendeleza injili yake ya magabacholi.Wahindi Wana kazi ya kufanya.
Mazezeta yanayo kanyagana Hadi kuuana kisa kushangaa maiti ya dikteta yamekosa kazi ya kufanya
Wahindi Wana kazi ya kufanya.
Mazezeta yanayo kanyagana Hadi kuuana kisa kushangaa maiti ya dikteta yamekosa kazi ya kufanya
Labda waliogopa kuona mwili wa binadamu mwenzao ukichomwa moto .Nyie pia hawakuwaona kwny msiba wa Subash Patel
1. Yaliyo mkuta Manji.Baba yenu sijui uzee sijui macho yangu. Katika pita pita yangu sioni ndugu zetu wa kihindi wakimuaga jemadari shujaa wetu John Pombe Magufuli kama wanyonge au kwa vile wao si wanyonge. Si Dar, Zenj na sasa Mwanza, sioni ndugu hawa wanaosifika kufaidi uchumi wa nchi yetu japo si kwa sana kipindi hiki cha Magufuli.
Yaliwapata nini wakati wanatuibia kila siku na kujitanga mabilionea?1. Yaliyo mkuta Manji.
2. Yaliyo mkuta Mo.
Ungekua na undugu na Ben Saanane, Azory, Akwilina, wale makumi walio okotwa maiti kwenye viroba, watumishi walio toa nguvu zao kwa miaka 30 kumtumikia jamii na kufukuzwa bila kulipwa mafao yao walio katwa kisa vyeti hewa nk ungejua kua huo mzoga wenu ulipaswa kutupwa mtoni baada ya kucharazwa bakoraNatamani ingekuwa maiti yako na ukoo wako wote ingefurahisha. Hao siyo mazezeta kama wewe baba yako mama yako na ukoo mzima mwanangu. Umeniudhi kiasi cha mwenembago kupanda nikatukana. Umefanya nitamani Mtikila aka Tikila afufuke na kuendeleza injili yake ya magabacholi.
wanatuibiaje? hizi ndio concept zinafanya wana siasa watuone wapumbavu.Yaliwapata nini wakati wanatuibia kila siku na kujitanga mabilionea?
Wewe ni mhindi nini? Unajua walivyoletwa na muingereza kufanya kazi hiyo hadi wakajikusanyia utajiri ukiachia mbali rushwa na wizi.wanatuibiaje? hizi ndio concept zinafanya wana siasa watuone wapumbavu.
hawa watu wamewekeza nchini kisheria, wanalipa kodi, wameajiri watanzania wengine?
halaf unasema wanatuibia how?
Hawa si ndiyo wale wako kwenye kundi la wanaotakiwa kuishi kana mashetani, ila JPM bwana, the guy was something else