Kunani mbona ndugu zetu wa kihindi hawaonekani katika umati unaomuaga Magufuli?

Kunani mbona ndugu zetu wa kihindi hawaonekani katika umati unaomuaga Magufuli?

Status
Not open for further replies.
A few photo and videos. Why generate racism???
 

Attachments

  • IMG-20210322-WA0009.jpg
    IMG-20210322-WA0009.jpg
    93.2 KB · Views: 10
  • VID-20210323-WA0018.mp4
    9.8 MB
  • VID-20210322-WA0023.mp4
    5.7 MB
Wewe ni mhindi nini? Unajua walivyoletwa na muingereza kufanya kazi hiyo hadi wakajikusanyia utajiri ukiachia mbali rushwa na wizi.
Sijui babu zako walitoka wapi. Kama walitoka bara (kama wakazi wengi wa Dar es Salaam wa leo), basi Wahindi walitangulia. Wajerumani walipofika Bagamoyo, waliwakuta Wahindi kati ya wenyeji wengine. Sewa Haji alijitolea kujenga hospitali ya kwanza ya dar es Salaam, chanzo cha Muhimbili.
Bwana, anza kujifunza na kujisomea kidogo kabla ya kutema ubaguzi!
 
Zamani Matajiri walikuwa wanafany chochote…lakin sasa hivi wanafanywa chochote
Sasa matajiri wataanza tena kuwafanyia watu chochote, waarabu wahindi ni waathirika wa kufungiwa Account kufungiwa biashara kubambikiwa kodi kesi za utakatishaji fedha uhujumu uchumi hawakuwa na mzuka wa kwenda uwanja wa uhuru
 
Wahindi sio misukule..Wanajitambua ndio maana wanashikilia uchumi wa TZ

Ni nchi ya watu wasiojitambua tu ndio unakuta maiti inazungushwa wiki nzima ili kuonyesha eti marehemu alikua anapendwa
Wafanyabiashara wengi walifungiwa biashara zao kufungiwa Account zao kienyeji kwa uonevu wana machungu ya kubambikiwa kodi kesi za uhujumu uchumi utakatishaji fedha na uonevu unyanyasaji mwingineo kibao
 
Wahindi Wana kazi ya kufanya.
Mazezeta yanayo kanyagana Hadi kuuana kisa kushangaa maiti ya dikteta yamekosa kazi ya kufanya
Watanzania wengi hawana shughuli za kufanya ndio maana Wapo wapo tu kushangaa tukio lolote lile. Hawana ratiba maalum. Ndio maana hata kukitokea ajali kidogo tu watu wanajazana utadhani tai wameona mzoga
 
Baba yenu sijui uzee sijui macho yangu. Katika pita pita yangu sioni ndugu zetu wa kihindi wakimuaga jemadari shujaa wetu John Pombe Magufuli kama wanyonge au kwa vile wao si wanyonge. Si Dar, Zenj na sasa Mwanza, sioni ndugu hawa wanaosifika kufaidi uchumi wa nchi yetu japo si kwa sana kipindi hiki cha Magufuli.
Wanamuaga kwa TIBISI
 
Kamfanye chochote Rostam aziz.

Tajiri akiisoma namba, wewe kapuku utaisoma mata 1,000,0000

Hanspope alikosana na Magu akahamishia maroli yaje Zambia, haya na wewe kapuku mnyonge, hohehae kuli hamishia shughuli zako Zambia
ingawa Hanspope alikimbia lakini mpaka leo kesi zake zipo mahakamani na bado alikuwa mbioni kuandamwa zaidi
 
Watanzania wengi hawana shughuli za kufanya ndio maana Wapo wapo tu kushangaa tukio lolote lile. Hawana ratiba maalum. Ndio maana hata kukitokea ajali kidogo tu watu wanajazana utadhani tai wameona mzoga
Hata Lori la mafuta likianguka utawaona wamejazana
 
Kwa jinsi alivyowapiga hela kwa lazima wana hamu naye , wamebakia tu omshanti shanti shanti parakataratatttatrarrpraaattt shantiiiiiiiii sijui ndio wana mlaani mi hata sielewi
 
wanatuibiaje? hizi ndio concept zinafanya wana siasa watuone wapumbavu.
hawa watu wamewekeza nchini kisheria, wanalipa kodi, wameajiri watanzania wengine?

halaf unasema wanatuibia how?
Uko sahihi mkuu ,ebu ngoja aeleze ameibiwa nn ?
 
Mie nimenukuu tu maneno ya Hayati, nashangaa Tajiri Mstaafu Povu linakutoka


Unadhan kuhamisha biashara ni rahisi rahisi kama kuhamisha malori?

Danganyeni huko huko kwny Vibanda umiza

Kuhamisha Biashara na kuhamisha Assets za biashara ni vitu viwili tofauti na la pili ni rahisi zaid

Kamfanye chochote Rostam aziz.

Tajiri akiisoma namba, wewe kapuku utaisoma mata 1,000,0000

Hanspope alikosana na Magu akahamishia maroli yaje Zambia, haya na wewe kapuku mnyonge, hohehae kuli hamishia shughuli zako Zambia
 
Ungekua na undugu na Ben Saanane, Azory, Akwilina, wale makumi walio okotwa maiti kwenye viroba, watumishi walio toa nguvu zao kwa miaka 30 kumtumikia jamii n a kufukuzwa bila kulipwa mafao yao walio katwa kisa vyeti hewa nk ungejua kua huo mzoga wenu ulipaswa kutupwa mtoni baada ya kucharazwa bakora
Una uhakika kuwa yeye marehemu ndiye aliwaua hao watu uliowataja??
 
wanatuibiaje? hizi ndio concept zinafanya wana siasa watuone wapumbavu.
hawa watu wamewekeza nchini kisheria, wanalipa kodi, wameajiri watanzania wengine?

halaf unasema wanatuibia how?
Tena ni wanalipa kodi kubwaaa
 
Baba yenu sijui uzee sijui macho yangu. Katika pita pita yangu sioni ndugu zetu wa kihindi wakimuaga jemadari shujaa wetu John Pombe Magufuli kama wanyonge au kwa vile wao si wanyonge. Si Dar, Zenj na sasa Mwanza, sioni ndugu hawa wanaosifika kufaidi uchumi wa nchi yetu japo si kwa sana kipindi hiki cha Magufuli.
Inaelekea wewe ni miongoni wa watu wanaowachukia wahindi na pia kuwaonea wivu kwa maendeleo yao! Aidha wewe ni mbaguzi wa kutupwa nyuma ya kivuli cha uzalendo! Kwani kati ya makabila yote zaidi ya 120 nchini ulikuwa unafuatilia mahudhurio yao?
Why pick on Indians? Upuuzi mtupu! Wewe umehudhuria misiba mingapi ya wahindi? Halafu kwani msiba wa Magufuli una ajabu gani hadi watu wote washangae? Halafu unasema wanafaidi uchumi wa nchi yenu, wewe na nani? Mchango gani ulitoa katika uumbaji wa nchi hii?

Hii dunia ni yetu sote!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom