Inog01 JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 1,291 Reaction score 1,961 Mar 27, 2015 #1 wadau hivi sababu ni ipi kwa nini mechi za hivi karibuni kati ya Tanzania na jirani zetu malawi hazichezwi kwenye uwanja wa taifa?.mechi iliyo pita ilchezwa sokoine na hii tena kirumba,why not in national stadium kama game zingine?
wadau hivi sababu ni ipi kwa nini mechi za hivi karibuni kati ya Tanzania na jirani zetu malawi hazichezwi kwenye uwanja wa taifa?.mechi iliyo pita ilchezwa sokoine na hii tena kirumba,why not in national stadium kama game zingine?
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 10,962 Reaction score 7,830 Mar 27, 2015 #2 timu ya taifa ile, so hata wakienda kucheza kisiwandui Zanzibar ni sawa!
Kifai JF-Expert Member Joined Jan 18, 2013 Posts 816 Reaction score 173 Mar 27, 2015 #3 Kila mechi mnataka zichezwe dar? Wacha na watu wamikoani waishuhudie timu yao ya taifa mdebwedo
Inog01 JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 1,291 Reaction score 1,961 Jun 25, 2016 Thread starter #4 Kifai said: Kila mechi mnataka zichezwe dar? Wacha na watu wamikoani waishuhudie timu yao ya taifa mdebwedo Click to expand... Upo mkuu
Kifai said: Kila mechi mnataka zichezwe dar? Wacha na watu wamikoani waishuhudie timu yao ya taifa mdebwedo Click to expand... Upo mkuu
Inog01 JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 1,291 Reaction score 1,961 Jun 25, 2016 Thread starter #5 Mchochezi said: timu ya taifa ile, so hata wakienda kucheza kisiwandui Zanzibar ni sawa! Click to expand... Nitafrah kujua uwepo wako jf
Mchochezi said: timu ya taifa ile, so hata wakienda kucheza kisiwandui Zanzibar ni sawa! Click to expand... Nitafrah kujua uwepo wako jf
M mmteule JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,883 Reaction score 14,600 Jun 25, 2016 #6 Mleta mada labda wewe umehisi tatizo ni nin kamanda?