Kunani mechi za Tanzania vs Malawi

Kunani mechi za Tanzania vs Malawi

Inog01

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2015
Posts
1,291
Reaction score
1,961
wadau hivi sababu ni ipi kwa nini mechi za hivi karibuni kati ya Tanzania na jirani zetu malawi hazichezwi kwenye uwanja wa taifa?.mechi iliyo pita ilchezwa sokoine na hii tena kirumba,why not in national stadium kama game zingine?
 
timu ya taifa ile, so hata wakienda kucheza kisiwandui Zanzibar ni sawa!
 
Kila mechi mnataka zichezwe dar? Wacha na watu wamikoani waishuhudie timu yao ya taifa mdebwedo
 
Mleta mada labda wewe umehisi tatizo ni nin kamanda?
 
Back
Top Bottom