Kunani media za kibongo haziripoti sana habari za uchaguzi wa Afrika Kusini?

Media za Tanzania haziwezi kuripoti uchaguzi huru na Haki
🤣
Anguko la ANC ni ishara ya kizazi kipya cha vijana wapigakura huko Afrika kusini.

CCM wakiwaza kizazi kipya cha vijana wapigakura waliozaliwa mwaka 2007- kurudi nyuma, ni hatari mno wanaweza kupoteza uchaguzi wa 2025. Ndio maana CCM wanatumia chawa(watu maarufu), mpira na bongofleva ili kuwapumbaza vijana.

Ila CCM wanaiba kura sana.
 
Hakika
 
Changes haziwezi kuzuiwa, kitakuja kizazi kitafanya changes, taratibu vyama vingi vikwonge vitaondoka ni suala la muda
 
60% wapiga kura Tanzaniav2025 ni vijana chini ya 35yrs...wajipange sanaa.....
 
Changes haziwezi kuzuiwa, kitakuja kizazi kitafanya changes, taratibu vyama vingi vikwonge vitaondoka ni suala la muda
Changes kwa Tanzania bado sana kutokana na mbinu za CCM za kuiba kura zinakuwa supported na vyombo vya ulinzi na usalama, mahakama na tume ya uchaguzi.

Siku pakitokea changes kwenye vyombo vya ulinzi na usalama ndio utakuwa mwisho wa CCM. Unadhani kwa nini nchi za afrika magharibi wanapindua serikali? Tena wanaofanya mapinduzi ni wanajeshi wenye umri mdogo.
Maana yake hicho ni kizazi kipya cha vijana wanajeshi ambao wamechoka kutumika na wanasiasa kunyanyasa raia.

Siku hiyo siku ikifika ambayo vyombo vya ulinzi na usalama vikiamua kukataa kuiba kura ndio utakuwa mwisho wa CCM.
 
Nature itakuja kuamua tu

Ova
 
Back
Top Bottom