Kunani media za kibongo haziripoti sana habari za uchaguzi wa Afrika Kusini?

Kunani media za kibongo haziripoti sana habari za uchaguzi wa Afrika Kusini?

Changes kwa Tanzania bado sana kutokana na mbinu za CCM za kuiba kura zinakuwa supported na vyombo vya ulinzi na usalama, mahakama na tume ya uchaguzi.

Siku pakitokea changes kwenye vyombo vya ulinzi na usalama ndio utakuwa mwisho wa CCM. Unadhani kwa nini nchi za afrika magharibi wanapindua serikali? Tena wanaofanya mapinduzi ni wanajeshi wenye umri mdogo.
Maana yake hicho ni kizazi kipya cha vijana wanajeshi ambao wamechoka kutumika na wanasiasa kunyanyasa raia.

Siku hiyo siku ikifika ambayo vyombo vya ulinzi na usalama vikiamua kukataa kuiba kura ndio utakuwa mwisho wa CCM.
Kuna Dalili naziona "Dola imechoka kupuuzwa na wanasiasa"hasa inapotoa maagizo hayatekelezwi Kwa mfano katiba mpya!!

Ndio maana makada wanaropoka "Nchi IPO salama mikononi mwa samiah" yaani wanahisi haipo salama ndio maana wanalopoka ujinga huo na kweli ndivyo inavoinekana Kuna ya sirini yanayozibwa na vyombo vya habari kwa entertainment nchini!!!

Kuanzia 2024 Hadi 2027 tutapata picha!!!
 
Changes kwa Tanzania bado sana kutokana na mbinu za CCM za kuiba kura zinakuwa supported na vyombo vya ulinzi na usalama, mahakama na tume ya uchaguzi.

Siku pakitokea changes kwenye vyombo vya ulinzi na usalama ndio utakuwa mwisho wa CCM. Unadhani kwa nini nchi za afrika magharibi wanapindua serikali? Tena wanaofanya mapinduzi ni wanajeshi wenye umri mdogo.
Maana yake hicho ni kizazi kipya cha vijana wanajeshi ambao wamechoka kutumika na wanasiasa kunyanyasa raia.

Siku hiyo siku ikifika ambayo vyombo vya ulinzi na usalama vikiamua kukataa kuiba kura ndio utakuwa mwisho wa CCM.
Kwa bongo bado ila kuna viashiria. Ccm knows this is why wanajaribu kuwa pull vijana ndani ya ccm kwa kutumia vyama chuoni, mashuleni, kwenye michezo. Lengo ni kuwateka na kuwafunika kiakili before hawajaamka.
While vyama pinzani now vinawafumbua macho kwa kutumia bad records, na pattern ambayo viongozi wamekuwa wakiifuata kwenye mambo yao.

So maybe si kesho au leo, but changes are coming. Tuombe uzimw tu kushuhudia hilo
 
Tayari wamechoka, washajua Matunda ya nchi hii ni kwa viongozi na watoto wao
Wapinzani wakkmae kwenye elimu tuuuu.....watajielewa kofia tishirt khanga ubwabwa....ni dharau sana kwao.....vijana ndio wataleta mabadiliko...nchi hii muda tuuuu.....komaeni na elimu vijana wajitambue.....imeishaa hiyo
 
Uwezo wao mdogo wa kuchambua mambo. Wao bongofleva, udaku na vioja basi.
 
Shida ya bongo ni kwamba Polisi, NEc, Usalama na JWTZ wapo upande wa CCM.
 
Sioni media za kibongo zikiripoti kiviile yaani unaweza kudhani hakuna uchaguzi mkuu kwa hawa jamaa zetu
Kajiunga na Palestine huyo Ana laana huoni mabalaa yanavyomfuata. Yeye Ndio kafungua kesi ya Netanyahu Mahakamani ICJ
 
Back
Top Bottom