Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
media za bongo zipo kwa ajili nani ka trend na watazamaji wake.Sioni media za kibongo zikiripoti kiviile yaani unaweza kudhani hakuna uchaguzi mkuu kwa hawa jamaa zetu
🤣Media za Tanzania haziwezi kuripoti uchaguzi huru na Haki
Hakika🤣
Anguko la ANC ni ishara ya kizazi kipya cha vijana wapigakura huko Afrika kusini.
CCM wakiwaza kizazi kipya cha vijana wapigakura waliozaliwa mwaka 2007- kurudi nyuma, ni hatari mno wanaweza kupoteza uchaguzi wa 2025. Ndio maana CCM wanatumia chawa(watu maarufu), mpira na bongofleva ili kuwapumbaza vijana.
Ila CCM wanaiba kura sana.
Changes haziwezi kuzuiwa, kitakuja kizazi kitafanya changes, taratibu vyama vingi vikwonge vitaondoka ni suala la muda🤣
Anguko la ANC ni ishara ya kizazi kipya cha vijana wapigakura huko Afrika kusini.
CCM wakiwaza kizazi kipya cha vijana wapigakura waliozaliwa mwaka 2007- kurudi nyuma, ni hatari mno wanaweza kupoteza uchaguzi wa 2025. Ndio maana CCM wanatumia chawa(watu maarufu), mpira na bongofleva ili kuwapumbaza vijana.
Ila CCM wanaiba kura sana.
CCM 2025 bila wizi wa kura, hawatashinda.Hakika
Na ANC inapoelekea ni kupotea tuChama Kongwe hakijafikisha 50% ya kura zilizohesabiwa unategemea CCM watafurahia hilo anguko la patner wake?
South Africa election result: Will ANC share power with MK party or DA?
Cyril Ramaphosa has led the ruling ANC to its worst result since it won the first democratic vote in 1994.www.bbc.com
Changes kwa Tanzania bado sana kutokana na mbinu za CCM za kuiba kura zinakuwa supported na vyombo vya ulinzi na usalama, mahakama na tume ya uchaguzi.Changes haziwezi kuzuiwa, kitakuja kizazi kitafanya changes, taratibu vyama vingi vikwonge vitaondoka ni suala la muda
Nature itakuja kuamua tuChanges kwa Tanzania bado sana kutokana na mbinu za CCM za kuiba kura zinakuwa supported na vyombo vya ulinzi na usalama, mahakama na tume ya uchaguzi.
Siku pakitokea changes kwenye vyombo vya ulinzi na usalama ndio utakuwa mwisho wa CCM. Unadhani kwa nini nchi za afrika magharibi wanapindua serikali? Tena wanaofanya mapinduzi ni wanajeshi wenye umri mdogo.
Maana yake hicho ni kizazi kipya cha vijana wanajeshi ambao wamechoka kutumika na wanasiasa kunyanyasa raia.
Siku hiyo siku ikifika ambayo vyombo vya ulinzi na usalama vikiamua kukataa kuiba kura ndio utakuwa mwisho wa CCM.
Kizazi kipya cha vijana wapigakura wamechoshwa na blah blah. 2025 CCM vijana watakitoa ccm madarakani. Shida ni kuwa CCM wanaiba kura sanaNa ANC inapoelekea ni kupotea tu
Vyama sijui vya ukombozi blah blah watu washachoka navyo
Ova
🤣Nature itakuja kuamua tu
Ova
One day yes🤣
Nature ikiamua hakuna wa kuzuia. Yaani hapo kikwazo ni vyombo vya ulinzi na usalama, wanatumika kuiba kura.
Hilo kundi sio la wapiga kura.60% wapiga kura Tanzaniav2025 ni vijana chini ya 35yrs...wajipange sanaa.....