Kunani msimbazi?

Hichi kituko, sijawahi kuona Tajiri anapiga picha na mchezaji anaposaini

Abromovich, Glazer, Mwarabu wa City, Kraonke wa Arsenal

Hii ipo mikiani tu
imewauma eeh kupiga picha...mlitaka apige picha na nani??omba omba fc mnataka mtupangie simba....makwasukwasu fc pilipili msiyoila inawawashia nini...KELELE NI NYINGI MAANA DAWA ISHAWAINGIA VIZURI
 
ficha upumbavu wako huyo sio tajiri wa madrid ni Rais wao aliyechaguliwa na wanachama
Huyo jamaa ni tajiri wa Madrid kwa sababu moja ya kigezo cha kuwa raisi lazima kwenye acnt uwe na mzigo zaidi ya budget ya usajili ya team. Ila huyo ni tofauti na Mo kwasababu amepigiwa kula, hatoi pesa mfukoni na nafasi yake ni ya muda tu.
 
Yaani wewe jamaa unatakaga mambo yaende unavyotaka wewe!

Ajibu hawezi kucheza simba wewe kama nani??

Heshimu kazi ya mtu. huyo tajiri yenu toka msimu uliopita alikuwa analilia ajibu arudi yeye ni mjinga??
Kama hawezi kucheza simba kabla ya yanga alikuwa anacheza wapi???
 
Ko simba hawana kamati ya usajili / mtu anayesimamia usajili?
Maana naona mo mwenyewe ndo kashika karatasi za mkataba.
Kitu ambacho hutamwona tajiri yoyote wa timu akikifanya.
Ni mwenyeki wa bodi ya wakurugenzi ambayo inahusika na hayo... hatuna kamati ya usajili labda kwenu huko.
Anawalipa yeye acha awape kandarasi... Zahera kumpeleka Makambo Horoya ni mali yake?.. ni kazi yake?.. anamlipa yeye?... Je ulihoji au ndio kuwashwa huko?
 
Pancho latino mimi ni mwanachama wa Simba sports club.
Ajibu hakuna anaemtaka hatumtaki Simba aende anako kujua aliondoka kwa majivuno sana sasa kumuonyesha sisi ni kamati ya Roho mbaya hatumtaki
 
Kwetu sisi wapi?
Maswala ya zahera yanaingiaje hapa?
Mbona unachanganya mada
 
Jadili mfumo wa kisasa wa Yanga.. haya ya Simba mtuachie wenyewe.
Alokwambia Mimi Yanga nani?
Unaweza thibitisha?
Mbona unakurupuka mkuu
Swala ni kuhoji na kujibu hoja sio mipasho unayoleta hapa
 
Pancho latino mimi ni mwanachama wa Simba sports club.
Ajibu hakuna anaemtaka hatumtaki Simba aende anako kujua aliondoka kwa majivuno sana sasa kumuonyesha sisi ni kamati ya Roho mbaya hatumtaki
Nafikiri ni wewe tu hutaki arudi!
Hata ofisa habari wenu manara alisema "unaweza ukarudi maana huku ujaua Bob "
Ajibu sidhani kama alikosana na kiongozi yeyote wakati anaondoka pia pale rafiki zake kina mkude, ndemla wanamshauri arudi na tajiri yenu pia! hii inaonesha ajibu ni mchezaji mzuri labda Hassan kessy ndo aliondoka kwa ugomvi

Nafikiri wewe ndo humtaki mkuu
 
Kamati nzima ya roho mbaya ya klabu ya simba, waadilifu wa simba hatumtak ajibu na tuko wengi sana ajibu aliondoka kwa kebehi huku haitajiki kabisa.

Atacheza wapi wakati sisi tuna ndoto ya kubeba kombe la CAF champions league atatusaidia nini? Sisi tumemlea huyo na kumkuza sasa asake maisha kwingine
 

Ana.kubali Ajibu kimoyomoyo huyo hujajua tu
 
Naomba unitajie watu watano wa hiyo kamati ya roho mbaya wewe ni wa sita ambayo unadai haimtaki ajibu!

Pili tuwekee hapa hizo kebehi ambazo unadai alizionyesha wakati anaondoka, iwe kwa Maneno, picha, video..

Tatu hiyo ndoto ya kubeba CAF (najua unatania) hao wakina zana coulibaly,medy kagere mzamiru yassin ndo watawapa hilo kombe??

Nne unauliza ajibu atacheza wapi, wenzake kwani wanacheza wapi kama siyo uwanjani?? kwa maana hiyo ajibu ni kiungo mbovu? uwezo mdogo kuliko hao kina dilunga??
msimu huu kwenye ligi nani ana assist nyingi kwa upande wa viungo??
tuanzie hapa
 
Watu wa kamati ya roho mbaya tuko wengi sanaaa siwezi kukutaji.
Kebehi za ajibu zi_google utaziona.

Ndoto ya kubeba CAF champions league tunayo na kama unamfuatilia Mo ndilo lengo letu haijalishi tutachukua lini, Zana ni mchezaji mzuri lakini hana consistency.
Mzamiru ni mchezaji mzuri sana hasa kwenye ligi ya ndani.

Msimu uliokwisha tulikuwa na malengo ya kuingia Group stages tukavuka hayo malengo, msimu huu tunayo ya kuingia Quarter final huenda tukaingia semi final kabisa au final usajili unaokuja si wakitoto.

Ajibu anauwezo mdogo ndio kuliko dilunga halina ubishi, ajib alivyokuwa Simba kasota sana benchi alikuwa reserve mmoja mzuri mno unajua kwanini? Kwa sababu Simba ina class A players kwa ligi yetu hii ya TPL na hata E.A nzima.

Sisi tunaanza kwa kuwa na kikosi bra na ghali wanafuata KCCA ya Kampala
 
Labda usilolijua Coach ametaka wachezaji sita na nafasi amezianisha,hivyo Ni kimya kimya na muda upo,Simba hakusajiliwi Kama upande wa pili,so relax dawa ikuingie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…