ZionGate
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 6,362
- 2,991
We shida yako nn yaani we unavimbiwa kwa kusikia jirani kala nyamaMambo ya kishamba hayo tajiri wa timu kumsainisha mchezaji makaratasi ,only in msimbazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We shida yako nn yaani we unavimbiwa kwa kusikia jirani kala nyamaMambo ya kishamba hayo tajiri wa timu kumsainisha mchezaji makaratasi ,only in msimbazi
Shida yangu awe professional aachane na vikazi vidogo vidogo mwisho wa siku aje kuonekana machinga bureWe shida yako nn yaani we unavimbiwa kwa kusikia jirani kala nyama
Acha ulofa wewe mbumbumbu fc Mo toka lini kawa rais wa Simba?Lazima uone ushamba maana hujui mambo...tangu lini shabiki la makwasukwasu fc a.k.a ombaomba f.c likajua mambo yanayoendelea duniani
View attachment 1124063
Hao kwenye picha unawafahamu??huyo anaye m sign unamfahamu??hahaaah kwa hiyo simba ni washamba kama barcelona...hahaaaah
Simba haina kamati ya usajili...huko tulishawaachia makwasukwasu fc wanaochangishana pesa kwenye ndoo ili wapate pesa za usajili...sisi usajili unasimamiwa na bodi na moodewji ndo mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi....sasa sjui kinakuuma nini mwenyekiti wetu wa bodi kusimamia usajili wa wachezaji wetu....ulitaka usajili wetu aje asimamie zahera 😂 😂 😂 😂 😂 😂 ...alafu nyi ombaomba fc pili pili msiyoila inawawashia nini...nyi endeleeni kuchangishana pesa kwenye mabakuli zahera akija mumpe aende kuwasaidia kusinyaa wachezaji wa laki tanotano kongo😂 😂 😂Acha ulofa wewe mbumbumbu fc Mo toka lini kawa rais wa Simba?
Yaan mashabiki ndo chanzo cha taarifa ya kuwa kasajiliwa sio tena manara nyie jamaa mmevurugwaKwa mujibu wa mashabiki wa Gor ndivyo wanavyosema na kuna maji ya mdimu (tetesi) msimbazi kuwa Francis kahata atatua msimbazi
Huyo hapo Tajiri wa Real Madrid akisimamia utiaji saini wa mkataba wa Kocha wa team yake...Klabu gani hiyo ambayo kiongozi mkuu huwa anahangaika na mikaratasi kama anavyofanya mo?
Ushawahi muona Abromovich akifanya kitu kama hicho Chelsea ?
Acha kujifanya unajua
Bi Hindu kasema Mzee Kilomoni akitoa Hati ataolewa na Mo.Tasaf fc a.k.a makwasukwasu fc mpo kujifariji.....eti hakuna hati...ukiwauliza hati ya nini wanakwambia hati ya jengo...ukiwauliza mnalijua hilo jengo lilivyopatikana hawajui...hata jengo lao tasaf fc hawajui lilipatikanaje...kuna siku mzee akilimali akiwaambia lile jengo lake tasaf fc watamuamini na watampa,akiwaambia ana hati yake ndo basi tena tasaf fc wote vichwa chini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaaah timu sahivi tunampa mzee kilomoni na bi hindu...nyie makwasukwasu fc msituingilie kama mnaona wivu na nyie mpeni mzee akilimali ndo anahati za yangaBi Hindu kasema Mzee Kilomoni akitoa Hati ataolewa na Mo.
Kwanini umeni_quote nusu na si maneno yote niliyoandika?Yaan mashabiki ndo chanzo cha taarifa ya kuwa kasajiliwa sio tena manara nyie jamaa mmevurugwa
Ha ha haaa, huyu Bundi lazima Msimbazi bakora zitembeeBi Hindu kasema Mzee Kilomoni akitoa Hati ataolewa na Mo.
Mkuu Mpira umeanza fwatilia lini?Huyo hapo Tajiri wa Real Madrid akisimamia utiaji saini wa mkataba wa Kocha wa team yake... View attachment 1124258
Nasikia alishasaini Polokwane City huyo jamaa hii ipoje na kulikoni??Mkuu simba kwa sasa mambo yetu tunafanya kimyakimya kelele tumewaachia vyura...angalia hii,hii ni kabda hata timu ya taifa haijaenda egypt but tuliamua tu kukaa kimyaView attachment 1123804
ficha upumbavu wako huyo sio tajiri wa madrid ni Rais wao aliyechaguliwa na wanachamaHuyo hapo Tajiri wa Real Madrid akisimamia utiaji saini wa mkataba wa Kocha wa team yake... View attachment 1124258
Mzee Kilomoni amedai hati hawezi kupewa wa kuja. .MO kazaliwa SingidaHata akitaka timu tumpe iwe yake milele tunampa tu...mashabiki ya makwasukwasu fc kwanini mnateseka mambo ya simba yanawahusu nini...kama mnaona wivuu na nyie mpeni mzee akilimali 😂 😂 😂 ...DAWA IMEINGIA TAYARIIII
Na Bi Hindu katoa ahadi ya kuolewa na Mo endapo Mzee Kilomoni atatoa hati kwa MoMzee Kilomoni amedai hati hawezi kupewa wa kuja. .MO kazaliwa Singida
Makwasukwasu hii Simba inawaumiza sana
Mwanzo mlisema MO hayupo na timu eti kajiengua na hajulihusishi na mambo ya usajili sasa mipicha ya kina Boko wakisinya Ofisini kwa boss mnaanza kuleta viswahili vingine
Tunaelewa Ndala mnataka MO aondoke ili tufanane lakini nawaambieni mnasumbuka tu halitatokea hili
Mo hata akitaka awe kocha sawa,akitaka timu nzima sawa
Hiyo timu ilipokuwa kwa wananchi sisi wananchi tulifaidika na nini zaidi ya kuwalaumu wenyeviti na viongozi wote waliokuwa madarakani
Bora MO achukue timu yote yeye anajua faida na hasara
Mara mo kagoma kutoa pesa, mara anasajili mwenyewe, mwatakaje makwasukwaau?Ko simba hawana kamati ya usajili / mtu anayesimamia usajili?
Maana naona mo mwenyewe ndo kashika karatasi za mkataba.
Kitu ambacho hutamwona tajiri yoyote wa timu akikifanya.
Mkuu simba kwa sasa mambo yetu tunafanya kimyakimya kelele tumewaachia vyura...angalia hii,hii ni kabda hata timu ya taifa haijaenda egypt but tuliamua tu kukaa kimyaView attachment 1123804