Kunani NHIF!

Kunani NHIF!

Raphael Thedomiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2019
Posts
442
Reaction score
729
Habari zenu wana-jf wenzangu.

Siku hizi za karibuni hapa, waziri wa afya amekuwa akieleza kuhusu mfuko huu, kwamba unajifia kutokana na kuelemewa na madeni!

Na sasa imetoka habari hiyo hapo chini! Je, nini hasa maana ya haya yote?!

Screenshot_20220901_174345.jpg
 
Back
Top Bottom