Raphael Thedomiri JF-Expert Member Joined Sep 1, 2019 Posts 442 Reaction score 729 Sep 1, 2022 #1 Habari zenu wana-jf wenzangu. Siku hizi za karibuni hapa, waziri wa afya amekuwa akieleza kuhusu mfuko huu, kwamba unajifia kutokana na kuelemewa na madeni! Na sasa imetoka habari hiyo hapo chini! Je, nini hasa maana ya haya yote?!
Habari zenu wana-jf wenzangu. Siku hizi za karibuni hapa, waziri wa afya amekuwa akieleza kuhusu mfuko huu, kwamba unajifia kutokana na kuelemewa na madeni! Na sasa imetoka habari hiyo hapo chini! Je, nini hasa maana ya haya yote?!
Africa Tanzania JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 1,504 Reaction score 2,272 Sep 1, 2022 #2 Kama ingekuwa ni gari, basi sahzi tupo mtaroni! [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
Kama ingekuwa ni gari, basi sahzi tupo mtaroni! [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
Mwanakwetuuu JF-Expert Member Joined Apr 8, 2022 Posts 1,011 Reaction score 2,283 Sep 1, 2022 #3 CCM wamemaliza fedha za afya ,halafu wanataka watu wote walipe tozoooooo
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Sep 1, 2022 #4 Waache kununuwa V8, waache kulipa wabunge hewa kama Halima Mdee ndio tutawaelewa. Pesa zipo nyingi sana usiwaamini porojo zao, Maneno yao na matendo yao na maisha wanayoishi ni vitu viwili tofauti.
Waache kununuwa V8, waache kulipa wabunge hewa kama Halima Mdee ndio tutawaelewa. Pesa zipo nyingi sana usiwaamini porojo zao, Maneno yao na matendo yao na maisha wanayoishi ni vitu viwili tofauti.
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Sep 1, 2022 #5 Hili nalo mkalitizame kwa kweli