Kunani tenaaaa........

NI aina ya mimea ya majani tu, ukiikalia huwa ina tabia kunasa kwenye nguo wakati mwingine hata kwenye ngozi.kibaiologia naweza kiita usafirishaji mbegu kwa njia ya lift au Seed dispersal kwa kiingereza,kifupi ni movement or transport of seeds away from the parent plant. Plants have limited mobility and consequently rely upon a variety of dispersal vectors to transport their propagules, including both abiotic and biotic vectors.
NI SAWA NA BONGO TUNAVYOSUBIRIA BAKULI LETU LA MISAADA LIJAE ILI TUWEZE KUENDELEA NA SAFARI YETU YA KUPANGA BAJETI,.HIYO NI KATI YA NJIA TULIOJIBUNIA TOKA MWANZO WA UHURU NA MPAKA LEO HII TUNAPOWAZA KUJIUNGA NA JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI.
 
naona pana sumaku hapo yakhe mbona kwingine hakunaaa
 

Wewe unaona mimea na mimi naona inzi!!!
 
Haya makalio yakizungu..nzi wanafuata nini ?
 
This is JF. Nimecheka sana sijui kama mhusika ana taarifa na hao abiria hapo nyuma!. You really made my day!
 

- wewe huo sio mmea umekaliwa, hao ni nzi wanamfuatilia huko matakoni, labda kuna kitu kafanya then hajajiweka sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…