vkeisy2006
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 229
- 99
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NI aina ya mimea ya majani tu, ukiikalia huwa ina tabia kunasa kwenye nguo wakati mwingine hata kwenye ngozi.kibaiologia naweza kiita usafirishaji mbegu kwa njia ya lift au Seed dispersal kwa kiingereza,kifupi ni movement or transport of seeds away from the parent plant. Plants have limited mobility and consequently rely upon a variety of dispersal vectors to transport their propagules, including both abiotic and biotic vectors.
NI SAWA NA BONGO TUNAVYOSUBIRIA BAKULI LETU LA MISAADA LIJAE ILI TUWEZE KUENDELEA NA SAFARI YETU YA KUPANGA BAJETI,.HIYO NI KATI YA NJIA TULIOJIBUNIA TOKA MWANZO WA UHURU NA MPAKA LEO HII TUNAPOWAZA KUJIUNGA NA JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI.
Wewe unaona mimea na mimi naona inzi!!!
ni aina ya mimea ya majani tu, ukiikalia huwa ina tabia kunasa kwenye nguo wakati mwingine hata kwenye ngozi.kibaiologia naweza kiita usafirishaji mbegu kwa njia ya lift au seed dispersal kwa kiingereza,kifupi ni movement or transport of seeds away from the parent plant. Plants have limited mobility and consequently rely upon a variety of dispersal vectors to transport their propagules, including both abiotic and biotic vectors.
Ni sawa na bongo tunavyosubiria bakuli letu la misaada lijae ili tuweze kuendelea na safari yetu ya kupanga bajeti,.hiyo ni kati ya njia tuliojibunia toka mwanzo wa uhuru na mpaka leo hii tunapowaza kujiunga na jumuia ya afrika mashariki.