chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Kwa jinsi Zanzibar ilivyo, nadhani Ina ukubwa sawa na Dar es salaam. Lakini naona Rais Mwinyi kama ana "struggle " kuiongoza.
Kuna mawili, anataka publicity au ameshindwa kufit katika jamii ya wazanzibari.
Rais Mwinyi anaitisha vikao na waandishi wa habari kuliko hata Rais yeyote wa afrika mashariki. Anafukuza maofisa wake Kila siku, Zanzibar sidhani kama Ina wateule wa Rais wanaofika 70.
Mpaka inafikia kumfukuza mtu, basi Kuna link zinamiss. Ilitakiwa unamanage mambo ya taasisi yake Kila siku na dakika.
My guess, Rais Mwinyi anataka jamii ya watu wa bara imuone anafanana na Magufuli, ili 2025 ateme Kaa la moto la Zanzibar, aje amsumbue tu mama yetu hasa baada ya karata za awamu ya tano kubomolewa. Anasambaza viklipu kuhusu Kodi ili apate lejitimasi
Mh. Mwinyi, Kaa hukohuko muyamalize, ukitaka kurudi,jimbo la mkuranga liko wazi