Kwani ina mda gani tokea ipandishwe vevoHizi Account za VEVO calculator zake zitakuwa hazifanyi kazi vizuri. Diamond na Neyo ina 3M views. Nyimbo za Mondi kwa muda huu zinakuwaga kwenye 5M +.
Hahahakumbe hadi mbele wananunua views
Sio kweli nyimbo ya diamond Ina siku 17 tangu iwekwe VEVO millioni 3 ni nyingi ukizingatia ni a/c mpyaHizi Account za VEVO calculator zake zitakuwa hazifanyi kazi vizuri. Diamond na Neyo ina 3M views. Nyimbo za Mondi kwa muda huu zinakuwaga kwenye 5M +.
Wanamihemuko na kubuma kwa aje remix wanaiga kunya kwa tembo madhara yake ndo hayoSio kweli nyimbo ya diamond Ina siku 17 tangu iwekwe VEVO millioni 3 ni nyingi ukizingatia ni a/c mpya
Sio kweli nyimbo ya diamond Ina siku 17 tangu iwekwe VEVO millioni 3 ni nyingi ukizingatia ni a/c mpya
Vevo hakuna ujanja ujanja.Hizi Account za VEVO calculator zake zitakuwa hazifanyi kazi vizuri. Diamond na Neyo ina 3M views. Nyimbo za Mondi kwa muda huu zinakuwaga kwenye 5M +.
Mwanzo walikuwa wakilipaje mkuu?!Sahiv youtube wameanza kulipa nusu gharama iwapo video yako inafikisha viewes 1m kwenda juu,
Watalipa gharama za audio na video
Huu mchezo nilihisi tunaushabikia tuu sie waTanzania kwa wasanii wetu tena nilihisi ni ushindani kati ya timu mbili zisizokuwa na uwanja yaani Team Diamond a Team Alikiba ila nimeshangaa kuona P-SQUARE wanashangilia kwa nyimbo yao kufikisha Views 1,000,000+ ki ukweli nimeshangaa maana hawa ni wasanii wakubwa Duniani, mbona wasanii wengine hususani kutoka Marekani hawafanyi hivi vitu tuseme kwa Afrika views nyingi ni deal sana.
Nawasilisha
Viewers ni pesa and people are making a lot of money.Huu mchezo nilihisi tunaushabikia tuu sie waTanzania kwa wasanii wetu tena nilihisi ni ushindani kati ya timu mbili zisizokuwa na uwanja yaani Team Diamond a Team Alikiba ila nimeshangaa kuona P-SQUARE wanashangilia kwa nyimbo yao kufikisha Views 1,000,000+ ki ukweli nimeshangaa maana hawa ni wasanii wakubwa Duniani, mbona wasanii wengine hususani kutoka Marekani hawafanyi hivi vitu tuseme kwa Afrika views nyingi ni deal sana.
Nawasilisha
Niambie nyimbo ya mondi iliyofikisha view 5 kwa wiki mbili usilete blablaHizi Account za VEVO calculator zake zitakuwa hazifanyi kazi vizuri. Diamond na Neyo ina 3M views. Nyimbo za Mondi kwa muda huu zinakuwaga kwenye 5M +.
Bakhresa kuwa na mabilion haimaanishi nikipata milion mbili nisishangilie...ushamba tu, kuna wasanii wanafikisha views hadi billion wakini hata hawajigambi lakini wasanii wa Afrika na waafrika kwa ujumla kufikisha tu million 1 makelele mitandaoni hadi tunakosa kulala, imekua ni kujitambishia sasa mtu akitoa ngoma inakua tuone ni siku ngapi atafikisha views kadhaa