Kunanini kati ya wasanii na Views nyingi Youtube

Kunanini kati ya wasanii na Views nyingi Youtube

Hizi Account za VEVO calculator zake zitakuwa hazifanyi kazi vizuri. Diamond na Neyo ina 3M views. Nyimbo za Mondi kwa muda huu zinakuwaga kwenye 5M +.
Kwani ina mda gani tokea ipandishwe vevo
 
kumbe hadi mbele wananunua views
Hahaha
Wasanii wote hupenda views mingi. Mpaka mwaka 2013 ilikuwa watu wana nunua you tube hawapitii, ila sku hizi wana fanya reviwes sanaa na wanaondoa viwes vzuri kabsa
 
Hizi Account za VEVO calculator zake zitakuwa hazifanyi kazi vizuri. Diamond na Neyo ina 3M views. Nyimbo za Mondi kwa muda huu zinakuwaga kwenye 5M +.
Sio kweli nyimbo ya diamond Ina siku 17 tangu iwekwe VEVO millioni 3 ni nyingi ukizingatia ni a/c mpya
 
Hizi Account za VEVO calculator zake zitakuwa hazifanyi kazi vizuri. Diamond na Neyo ina 3M views. Nyimbo za Mondi kwa muda huu zinakuwaga kwenye 5M +.
Vevo hakuna ujanja ujanja.

Haki bin Haki.
 
Sahiv youtube wameanza kulipa nusu gharama iwapo video yako inafikisha viewes 1m kwenda juu,
Watalipa gharama za audio na video
Mwanzo walikuwa wakilipaje mkuu?!

Hiyo kulipa nusu gharama kama kizunguzungu watakuwa na uhakika gani kama video hii na audio hii imetumia kiasi gani cha pesa?!

Je wasanii hawawezi kuleta ujanja ujanja wa kuongeza sifuri?!
 
Huu mchezo nilihisi tunaushabikia tuu sie waTanzania kwa wasanii wetu tena nilihisi ni ushindani kati ya timu mbili zisizokuwa na uwanja yaani Team Diamond a Team Alikiba ila nimeshangaa kuona P-SQUARE wanashangilia kwa nyimbo yao kufikisha Views 1,000,000+ ki ukweli nimeshangaa maana hawa ni wasanii wakubwa Duniani, mbona wasanii wengine hususani kutoka Marekani hawafanyi hivi vitu tuseme kwa Afrika views nyingi ni deal sana.

Nawasilisha
2ec43644dd237ce5585bf85248b7e7d5.jpg

chris brown huyu hapa anashangilia viewers wa youtube
 
Huu mchezo nilihisi tunaushabikia tuu sie waTanzania kwa wasanii wetu tena nilihisi ni ushindani kati ya timu mbili zisizokuwa na uwanja yaani Team Diamond a Team Alikiba ila nimeshangaa kuona P-SQUARE wanashangilia kwa nyimbo yao kufikisha Views 1,000,000+ ki ukweli nimeshangaa maana hawa ni wasanii wakubwa Duniani, mbona wasanii wengine hususani kutoka Marekani hawafanyi hivi vitu tuseme kwa Afrika views nyingi ni deal sana.

Nawasilisha
Viewers ni pesa and people are making a lot of money.
Screenshot_2017-02-24-04-04-22.png
 
Views za youtube Ni muhimu Sana Kuna watu Ni matajiri kwa kupost youtube Tu kinachotokea Ni ku-commercialize yt channel yako ili ukipost kitu Kuna kuwa na matangazo ex. Coca-Cola wao watawalipa yt na yt watakupa % so ukiwa viewers wengi dau linapanda
Kitu kingine Ni income generated by yt video Ni perpetual as long as video inaangaliwa hata baada ya miaka 50 we unalipwa so Ni investment nzuri
All that been said mtoe support kwa wasanii wenu kwa kuangalia video zao through their official channels
 
Hizi Account za VEVO calculator zake zitakuwa hazifanyi kazi vizuri. Diamond na Neyo ina 3M views. Nyimbo za Mondi kwa muda huu zinakuwaga kwenye 5M +.
Niambie nyimbo ya mondi iliyofikisha view 5 kwa wiki mbili usilete blabla
 
ushamba tu, kuna wasanii wanafikisha views hadi billion wakini hata hawajigambi lakini wasanii wa Afrika na waafrika kwa ujumla kufikisha tu million 1 makelele mitandaoni hadi tunakosa kulala, imekua ni kujitambishia sasa mtu akitoa ngoma inakua tuone ni siku ngapi atafikisha views kadhaa
Bakhresa kuwa na mabilion haimaanishi nikipata milion mbili nisishangilie...
 
Hichi Ni kitu cha kawaida kbs Kwa wenzetu(ulaya), na ilianza miaka ya nyuma kidogo na mpk ss wameshazoea kuhusu hizo views, na ukiona mpk msanii anasijisifia kuhusu views Kwa ulaya ujue kuna ushindani anaoufanya n. K, anyway, Kwa sisi Africa bado Ni kitu kigeni au ndo kitu kinacho trend saaana Kwa wasanii wetu Kwani zamani haikuwa tabia ya kucheck au kuview vitu Kupitia Youtube, hivyo kukua Kwa teknolojia na utandawazi kumesaidia na bado kunasaidia na sisi kufanya hivyo kama wenzetu wanavyofanya ili kujiingizia pesa na itafika kipindi tutaona kawaida km ilivyo Kwa wenzetu huko ulaya
 
Hapa bongo nilipata kusikia ETI kuna msanii ananunua viewers youtube
 
Back
Top Bottom