Kunaonekana huko juu kuna fitna na kujipendekeza sana

Kunaonekana huko juu kuna fitna na kujipendekeza sana

covid 19

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
6,967
Reaction score
17,452
Nashindwa kujua intelijensia ya ya hivi vyombo vyetu vya usalama na ripoti zao kwa viongozi na Rais wa nchi zina weledi kweli..?

yaani inawezekana vipi kuiweka nchi kwenye hali ya taaruki kiasi hiki kwa chama ambacho wala hakuna mweye mpango nacho kama hao watu wanaotekwa au kuchukuliwa na watu wasiojulikana ambapo polisi ni watuhumiwa je ni nani huyo aliyewashauri vyombo hivi kufanya hiki kitu wanachofanya maana hakukuwa na ulazima wowote na kamwe huwezi kumaliza wanaokupinga kwa kuwatisha au kuwauwa hiyo ni nature kuna namna bora zaidi ya kudeal na hawa watu tena kwenye nchi kama Tanzania ambayo asilimia kubwa ya wananchi hawadeal sana na siasa.

Mfano leo polisi wangewaacha chadema waandamane sidhani ata kama kungekuwa na watu ambao wangewaunga mkono huko barabarani.

Mhe. Rais kuwa makini sana weka wasaidizi wengi wanokupa taarifa kutoka sehemu tofauti tofauti kuna watu wanakupotosha labda wanakwambia upinzani huku wanakubalika sana si kweli hakuna mtanzania mwenye mpango na vyama vya upinzani kwa sasa muda huo bado sana kwa hapa Tanzania.
 
Watoa matamko ya kufanya hivyo ni ccm, ati wana inteligência kubwa viongozi wao wengine wamesema mbowe yuko arusha kumbe yuko zake dar. Ujinga mkubwa walionao ccm na viongozi wao wakitekelezewa na policcm.
 
Back
Top Bottom