Kunasehemu nahisi tumewekewa pandikizi toka nchi jirani

Ccm tuondoleeni pandikizi la Rwanda mlilotubambikizia ,nchi inaangamia hii tena kwa makusudi kabisa .
 
Ccm tuondoleeni pandikizi la Rwanda mlilotubambikizia ,nchi inaangamia hii tena kwa makusudi kabisa .
hawawez kuelewa sasa hivi maana hivi vimishahara uchwara wanavyopata wanahisi wamefika hawajui dhaman wanayoipoteza kwa vipande vya sarafu.nawaonea huruma sana hawa watu maana siku akigeuza upepo kwao =
Shabiby
msukuma
Abood
Januari makamba
Mwigulu bado dawa yake haijaiva .
Na wengine wengi maana nina uhakika kabisa hataawaacha salama hata wamsifiaje lakin naziona hamsini zao baada ya 2020
 
Sawa hata mimi nakubali kuwa mzee baba ndo mchawi wetu lakini Mbowe, Matiko Zitto, Lissu na wangine, ndo wamzuia viwanda visijengwe? Tatizo ya mzee baba ni ubishi kwa kuamini ana akili kulioko wote ndani na nje ya sisiem. Hata akina Mbowe wakiachiwa kesho kwa ubishi wa mzee baba uchumi utaendelea kudorora.
 
Kama ulikuwepo vile, nilikuwa naongea na mtu mmoja tukiwa lunch nikamwambia usikute haka kajamaa kamepandikizwa kuifanyia nchi sabotage. Hisia zangu kumbe na wewe mkuu unazo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…