Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
kwenye fujo zenu mmemuona tajiri ata mmoja? maaan yake umaskini unawasumbua mnakaribia kua wachawi
Usilie tarehe 9 ni mwendo wa kujibizana risasi kama congo tu tunataka Samia na abduli nao waje kutuliza maandamano sio kuwatumia masikini hao waje kufa siku hiyo kitawakakwenye fujo zenu mmemuona tajiri ata mmoja? maaan yake umaskini unawasumbua mnakaribia kua wachawi
sasa mm nshajitengeneza mda mrefu ndo maaana najiskia vibaya kuona mtu anarudishwa nyuma kibiashara, na wote waliochoma biashara za watu wamepata stahiki zaoBlah blah blah. Upo busy kuwaza maendeleo na muda wote na masaa 24 siku saba za wiki unakesha mitandaoni. Hivi unapata hata muda wa kuoga kweli.?
Kati ya watu waliotakiwa waandamane na wewe ilibidi uwe mmoja wetu maana maisha yako ni duni tu.
🤣🤣🤣🤣🤣 karibu sana uwanjanUsilie tarehe 9 ni mwendo wa kujibizana risasi kama congo tu tunataka Samia na abduli nao waje kutuliza maandamano sio kuwatumia masikini hao waje kufa siku hiyo kitawaka
Umpige nani lockdown wakati muandamanaji ndio mlima nyanya na mlima vyakula vyote na siku hiyo tunataka Samia na abduli waje kutuliza maandamano sio kuwatumia nyie mafukara mtakufa kama kuku maana mtachezea Shaba za kutosha kutoka Kwa raiaSawa hiyo jamba jamba mliyopata soon baada ya 29/10 sasa jaribuni tena mwezi December, mtalia na kusaga meno.
Hata ukiwa na milioni hiyo nyanya hutaipata ni kuwapiga full lock down hakuna kenge kuonekana nje, yaani ukitoka nje ni shaba ya kichwa, intaneti tunazima, na tutaenda mbali zaidi tunazima na umeme nchi, nyau nyie mtapiga magoti na kumsalimia abduli shikamoo baba.
acha maneno mengi toka nje anza kaziUmpige nani lockdown wakati muandamanaji ndio mlima nyanya na mlima vyakula vyote na siku hiyo tunataka Samia na abduli waje kutuliza maandamano sio kuwatumia nyie mafukara mtakufa kama kuku maana mtachezea Shaba za kutosha kutoka Kwa raia
maskini anajulikanaUnafanya biashara gani wewe kapuku tu. Kubeti nayo ni biashara? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Kutwa kushinda vibanda umiza kubeti halafu unasema una biashara.
Hauna akili. Kichwa chako kinalemea mwili tu hapo.sasa mm nshajitengeneza mda mrefu ndo maaana najiskia vibaya kuona mtu anarudishwa nyuma kibiashara, na wote waliochoma biashara za watu wamepata stahiki zao
Siku hiyo utakua umejifungia unajinyea tu na ninavyowapenda kikosi Cha abduli akiangalii huyu chawa au huyu muandamanaji ni Shaba tu mpaka nyumbani unapolala hivyo jianda🤣🤣🤣🤣🤣 karibu sana uwanjan
alafu tatizo mnaongea sana si unaona wale jamaa waliokamatwa walivopauka, wale jamaa wako hospital saaahv japo kwa nifa kidogo namuombea atoke maaana kesi yake busara inaweza kutumika tu, ila wale wengine ambao walikua kwenye maadamano si unaona walivopaukaUmpige nani lockdown wakati muandamanaji ndio mlima nyanya na mlima vyakula vyote na siku hiyo tunataka Samia na abduli waje kutuliza maandamano sio kuwatumia nyie mafukara mtakufa kama kuku maana mtachezea Shaba za kutosha kutoka Kwa raia
unatakiwa mpaka saahv uwe ushaingia road wenzako kule ndam wanakandwa sio poa, wamepelekwa wapate matatibu kma hujuiSiku hiyo utakua umejifungia unajinyea tu na ninavyowapenda kikosi Cha abduli akiangalii huyu chawa au huyu muandamanaji ni Shaba tu mpaka nyumbani unapolala hivyo jianda
Munakamata watu hovyo hivyo waandamanaji wenyewe mnawaogopa hahahaha kazi ipo pale pale endeleeni kukamata watu wakati waandamanaji mnawaacha mitaani kazi mnayo n🤣🤣🤣🤣🤣alafu tatizo mnaongea sana si unaona wale jamaa waliokamatwa walivopauka, wale jamaa wako hospital saaahv japo kwa nifa kidogo namuombea atoke maaana kesi yake busara inaweza kutumika tu, ila wale wengine ambao walikua kwenye maadamano si unaona walivopauka
Na serikali iongeze walengaji watungue hiyo mijambaziUsichukulie masihara
Sisi hatuendeshwi na mihemko nyie mnakurupuka mnakamata watoto wa watu na kuua endeleeni kuwatesa mpaka muwaue mkifikiri ndio mmemaliza tatizo mlilolisababisha wakati kikosi kazi lipo salama na badoooooo🤣🤣🤣🤣🤣unatakiwa mpaka saahv uwe ushaingia road wenzako kule ndam wanakandwa sio poa, wamepelekwa wapate matatibu kma hujui
Hiyo ni Mali ya umma na umma umechoma Mali yakeeeee we kinachokuuma ni nini🤣🤣🤣🤣Na serikali iongeze walengaji watungue hiyo mijambazi View attachment 3499364
Taja mtaa mmoja wapo, bora hii kitu ingeishia chooni tu.mitaa mingi watu wanafanya kazi wanapata mapato yao
Biashara za MAFISADI hazina mchango wowote kwa Taifa, hawalipi kodi. Maandamano yajayo tutazipiga kiberiti biashara zenu za kutosha. Mkiiba kodi zetu hakikisheni mnafungua biashara nje ya nchi huko.laiti mngejua ugumu watu wanapata kuanza biashara na sacrifise wanafanya basi mngelewaga kwann wezi wanachomwa
Bangi haijawahi kumuacha mtu salama yaan kwenye familia ugombane na mama ndio uchome vyombo vya nyumban 🤣🤣Hiyo ni Mali ya umma na umma umechoma Mali yakeeeee we kinachokuuma ni nini🤣🤣🤣🤣
eeeh mkuu, tunakuogopa hivo ingia road sasaMunakamata watu hovyo hivyo waandamanaji wenyewe mnawaogopa hahahaha kazi ipo pale pale endeleeni kukamata watu wakati waandamanaji mnawaacha mitaani kazi mnayo n🤣🤣🤣🤣🤣
We chawa kajifunze kuandika kwanza. Sacrifise ndio nini?sacrifise ipi na kodi hamtaki kulipa?