Kunaulazima Rais aanzie miaka 40? mbona hawa walifanya makubwa kwenye umri mdogo.

Kigezo cha umri ni kwa mujibu wa katiba yetu ambapo wakat wanaweka kigezo hik waliamin mtu alyefikisha 40yrs atakua mtu mzima asiye na papara za ujana(haina ushahid wa kisayansi)

But all n all n kwamba hvyo vigezo vinaweza kubadilishwa kulungana na mabadiliko ya katiba ya nchi husika
 
Ontario pia
 
Palantir , JokaKuu , zitto junior
Hebu mtupe mawazo, je tushushe Uraisi wa nchi hadi kufika miaka 25 ???

..itabidi kwanza utupe mifano ya hapa Tz.

..unafikiri kuna vijana ambao wangelifaa lakini wakakosa kwa kigezo cha umri.

..Je, kwa mazingira(weak institutions) ya kawaida ya Tz, na kuzingatia mfumo wetu wa elimu, unafikiri umri chini ya 40 years anaweza kukabidhiwa usukani?
 
Ndiyo maana nimekuita ili nisikilize busara zako Mkuu.
 
Palantir , JokaKuu , zitto junior
Hebu mtupe mawazo, je tushushe Uraisi wa nchi hadi kufika miaka 25 ???
Me hicho kigezo kushushwa mpaka miaka 21 napingana nacho, atleast kishuke mpaka 35, kwanza kashatoa mifano ya viongozi kama Sankara na Khan wote walianza around 30s.
Kwa maisha ya kiafrika na taasisi zetu za uraisi madaraka wanayokuwa nayo haitakiwi vijana wadogo tutashuhudia makubwa ya kutisha!.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Uraisi ni kama kukabidhiwa dunia yako Tanzania sasa kumbebesha mahitaji ya watu zaidi ya millioni 40 kijana wa miaka 21 ambaye ndio kwanza katoka kubalehe hakajajua hata maisha ni nini?, ni kutafuta matatizo, Miaka 35 at least!.
Kuna vijana kama Zito Kabwe na John Mnyika nilikuwa naona wana uwezo mkubwa kuliko over 40 wengi sana. Sidhani kama kuwa na uwezo wa kuongoza na kuelewa mambo yanahusiana na kuendesha nchi kunategemea umri. Viongozi wazee akili zao zote walitumia ujanani na sasa wanaishi kwa mazoea. Ndiyo maana wengi bado wanahisi tupo kwenye ujamaa. Wengi wao huwa Nostalgic, longing for the good old days hata kama kiuhalisia hazikuwa good.
 
Hivi ukipata rais mjinga mjinga kama ujuavyo,halafu akawa na miaka say 30 akang'ang'ania madarakani nchi itakuwaje?
We unajua wabongo tulivyo na roho mbaya!Bora aje umri ukiwa umeenda ili akitoka hapo kachoka!
Uwe unafikiri vizuri kabla ya kutoa mawazo tata!We unaona hali ilivyo kabisa halafu unatamani mtu anayeweza kukomaa hadi miaka 25-30 madarakani!
 
nikiwaangalia polepole na bashite nasema umri ubaki huohuo usibadilishwee
 
Duuh haya mkuu ain't here for league mkuu wala sikulazimishi kuamini kama uko really curious katafute data mwenyewe naona hapa tutabishana bila faida
Amna endeleeni bana,kuptia challenge mnayobishana wengine tunapata point
 
Mugabe aliingia na miaka 50 na akang'ang'ania miaka karibu 40!!.
 
Mkuu mie naona tatizo ni kuwa RAIs akiwa kijana na akimaliza muda wake akiwa bado kijana BASI KUNA possibility NYING ZA KUKATALIA MADARAKANI

MADARAKA MATAMU ASIKWAMBIE MTU
Huu ndio ukweli ebu ona akina Joseph Kabila, Yoweri Mseveni, Gadafi wote hawa walianza urais wakiwa vijana baada yya hapo ni kugoma kutoka madarakani.

Haya mambo kwa Afrika ni changamoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…