mkuu unaacha watu wafikiri kwa niaba yako?.wabunge wanaotakiwa kumcheki Rais, kupitisha sheria za nchi(kazi muhimu kuliko zote) na kuwa mawaziri wanaanzia miaka 21. Mwanafalsafa Confucius alikuja na idea ya meritocracy. kwamba watu wapewe nafasi za uongozi kulingana na uwezo wao na si umri, kabila, ukoo nkwatu wenyewe mnaoa mkiwa 30's
Hatutaki kuona mimba za ma first lady[emoji23]
Hilo wazo hao walioona 40 ndio miaka ya kuwa Rais walishalijadili.. walijadiliana watu wenye uwezo wa kufikiria mpaka ukomo wetu.. wakaona faida ya kuwa kiongozi katika umri huo ni nyingi sana.
20s mpaka30s jiachieni tu sio umri wa kupewa Taifa uliendeshe mkuu
Wewe umesoma wapi kuwa s.a.w sio muaanzilishi wa hiyo dini??
Hivi unajua maana ya dini??
Kama Mohammed sio mwanzilishi he nani alianzisha hiyo dini??
Iman kitu BAYA sana
sina mood ya kubishana mkuu.. Nmeshasema kwa maono yangumkuu unaacha watu wafikiri kwa niaba yako?.wabunge wanaotakiwa kumcheki Rais, kupitisha sheria za nchi(kazi muhimu kuliko zote) na kuwa mawaziri wanaanzia miaka 21. Mwanafalsafa Confucius alikuja na idea ya meritocracy. kwamba watu wapewe nafasi za uongozi kulingana na uwezo wao na si umri, kabila, ukoo nk
Sawa iman kitu kibaya lakini ni vizuri kuheshimu imani za wenzio hili tuishi kwa kueshimianaWewe umesoma wapi kuwa s.a.w sio muaanzilishi wa hiyo dini??
Hivi unajua maana ya dini??
Kama Mohammed sio mwanzilishi he nani alianzisha hiyo dini??
Iman kitu BAYA sana
Nitengenezeeni check and balance kwanza πIla mbona hata wewe Palantir unaweza ukawa Raisi mzuri tu........!
Mnyika mara ngapi kacontradict misimamo yake!?.. hujanotice hes still on the path to!.Kuna vijana kama Zito Kabwe na John Mnyika nilikuwa naona wana uwezo mkubwa kuliko over 40 wengi sana. Sidhani kama kuwa na uwezo wa kuongoza na kuelewa mambo yanahusiana na kuendesha nchi kunategemea umri. Viongozi wazee akili zao zote walitumia ujanani na sasa wanaishi kwa mazoea. Ndiyo maana wengi bado wanahisi tupo kwenye ujamaa. Wengi wao huwa Nostalgic, longing for the good old days hata kama kiuhalisia hazikuwa good.
Aaaaah Braza mimi na siasa wapi na wapi aiseee!Nitengenezeeni check and balance kwanza π
Ila Malcom Lumumba ukiwa PM nchi itafaidika sana!.. Mondlane is in you!.
Mkuu muhammad (S .A.W) Hajaunda uislam mkuu rekebisha hapo uislam ulikuwep kabla ya muhammad mkuu
Wewe mkuu unasikitisha sana,
Unapoongelea imani ya mtu lazima uwe na elimu nayo
mimi nimesoma kwenye quran muhammad ni mtume kama mitume mingine mkuu sio mwanzilishi bali ni muendelezaji wa dini kwa generations na yeye ndiyo alikua the last mkuu
Kwa akili yako unajua kila dini huwa inaanzishwa na watu sio hivyo mkuu dini nyingine imekamilika haina shida hata kidogo kuanzia kwenye quran na ndiyo maana wamagharibi wanajaribu kuungamiza uislam lakini wanashindwa unajua kwanini wanataka kuusambaratisha uislam??
Ni kweli me kiuhalisia siwezi hata siku kuwa kiongozi ile kila mtu anitegemee sipendi sana!. Lakini ni mmoja kati ya watu ambao napenda sana kumuweka mtu mwingine juu atumikie mambo yangu (Post turtle)ππAaaaah Braza mimi na siasa wapi na wapi aiseee!
Yani sijawahi kutamani kuwa kiongozi wa nchi hata siku moja: Japo napenda sana kazi yangu ya kuwapika na kuafundisha viongozi na wanasiasa wa baadae, lakini mimi binafsi siasa siyo wito wangu.............!
The King MakerNi kweli me kiuhalisia siwezi hata siku kuwa kiongozi ile kila mtu anitegemee sipendi sana!. Lakini ni mmoja kati ya watu ambao napenda sana kumuweka mtu mwingine juu atumikie mambo yangu (Post turtle)ππ
'SAMAHANI' NAOMBA USOME HAYA MAANDIKO:mimi nimesoma kwenye quran muhammad ni mtume kama mitume mingine mkuu sio mwanzilishi bali ni muendelezaji wa dini kwa generations na yeye ndiyo alikua the last mkuu.
Kwa akili yako unajua kila dini huwa inaanzishwa na watu sio hivyo mkuu dini nyingine imekamilika haina shida hata kidogo kuanzia kwenye quran na ndiyo maana wamagharibi wanajaribu kuungamiza uislam lakini wanashindwa unajua kwanini wanataka kuusambaratisha uislam??
Kibongo bongo kufanya hivi ni sawa na ujasiri wa kujifunika shuka moja na nyoka!mkuu unaacha watu wafikiri kwa niaba yako?.wabunge wanaotakiwa kumcheki Rais, kupitisha sheria za nchi(kazi muhimu kuliko zote) na kuwa mawaziri wanaanzia miaka 21. Mwanafalsafa Confucius alikuja na idea ya meritocracy. kwamba watu wapewe nafasi za uongozi kulingana na uwezo wao na si umri, kabila, ukoo nk