Engager
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 1,522
- 3,255
Jana usiku wakati mnaenda kulala mlikuwa fresh tu. Mmelala ila hukumpelekea moto, asubuhi anaamka amenuna. Anaamka anafanya kazi zake za asubuhi hakusemeshi. Kama mna watoto, yaani ni full kufokewa utafikiri hakuwazaa yeye. Unajaribu kuscan umefanya kosa gani over a night unajikuta mbona hamna kibaya umefanya!
Funny thing about women walioolewa, waliowengi hata akiwa na nyege haombi game. Anasubiri ujiongeze.
Ukikutwa na wewe hauna mood siku hiyo, hupeleki moto. Matokeo yake ndo hayo. Mtu anaamka asubuhi kanuna tu. Wanawake bwana. Wanakuwaga na tu vituvitu sana😅😅
Sasa akiamka na mood hiyo, nawewe ikawa bahati siku hiyo hutoki, msikiliziea tuu. Mwache afanye shughuli zake za asubuhi na minuno yake, mpaka amalize. Mwanamke msafi akishamaliza shughuli za asubuhi kabla hajanywa chai, anakwenda kuoga.
Akitoka huko kuoga, akiwa anajiandaandaa kuvaa pale, mvutie uwanjani. Peleka moto hadi uhakikishe anakitupa. Utakuja kunishukuru🙂