Hukutumia dawa yoyote hata toneDuh! Pole sana kwako na kwa mwanao. Mimi nilikuwa nikimuosha tuu samaki hasa tasi na baadhi ya samaki wa maji chumvi nawashwa sana mpaka nachukua kitana kujikuna au brush,nikaambiwa nina allergy niache kutumia baadhi ya vyakula pomoja na chips mayai🤭😋 lakini ilikuja kuisha yenyewe hiyo hali. Sasa hivi kila halali nakula.
Asante kwa ushauriPole sana kwa tatizo hilo. Je, ni samaki aina gani akila anajikuna? Nakushauri uende hospital kwa ajili ya kupima ni allergy zipi alizonazo mwanao...
Halafu kutapika kwenu ni kugusa tu mnarudisha MwaaahMimi samaki yoyote nikimla lazima nitoke mapele mwili mzima. Hospitali nilijaribu kila dawa ikashindikana, so nimeamia tu kutokula. Nenda hospital wanaweza kukupa msaada na mara nyingi sisi wenye group o+ ndo tatizo tunakuwa nalo zaidi
1 Ana kundi gani la damu.Mwanangu ana umri wa miaka miwili kasoro!
Ana uchu wa samaki kinoma!...
Sawa mkuu1.Punguza kiasi cha chumvi kwenye chakula cha mtoto
2. Usimlishe samaki wa maji chumvi
3. Usimlishe kitimoto
Alikuwa tasi nwenye vidoa vidoa?Duh! Pole sana kwako na kwa mwanao. Mimi nilikuwa nikimuosha tuu samaki hasa tasi na baadhi ya samaki wa maji chumvi nawashwa sana mpaka nachukua kitana kujikuna au brush,nikaambiwa nina allergy niache kutumia baadhi ya vyakula pomoja na chips mayai🤭😋 lakini ilikuja kuisha yenyewe hiyo hali. Sasa hivi kila halali nakula.
Sijawahi kusikia mwanamke ana allergy na dudu la yuyu, Wala mwanaume ana allergy na TukuyuDuh! Pole sana kwako na kwa mwanao. Mimi nilikuwa nikimuosha tuu samaki hasa tasi na baadhi ya samaki wa maji chumvi nawashwa sana mpaka nachukua kitana kujikuna au brush, nikaambiwa nina allergy niache kutumia baadhi ya vyakula pomoja na chips mayai🤭😋 lakini ilikuja kuisha yenyewe hiyo hali. Sasa hivi kila halali nakula.
Lol...😄Sijawahi kusikia mwanamke ana allergy na dudu la yuyu, Wala mwanaume ana allergy na Tukuyu
Ni baadhi tu ya samaki mkuu. Sio samaki wote. Mfano hao sangara wengi wana shida nae. Chunguza samaki mmoja mmoja. Achana na yule samaki mliezoea kumtumia hapo home.Mwanangu ana umri wa miaka miwili kasoro!
Ana uchu wa samaki kinoma!
Lakini bahati mbaya kila akila samaki anajikuna na kutokwa vipere mwili mzima mithili ya kupitiwa na mdudu washawasha!
Je, nitumie mbinu au dawa gani ili mwanangu aendelee kula samaki bila shida hii ya kujikuna (allergy /mzio)?
Msaada tafadhali wazazi wenzagu!
Tukuyu water mbona mim na Hypersensitivity nazoSijawahi kusikia mwanamke ana allergy na dudu la yuyu, Wala mwanaume ana allergy na Tukuyu