MBOKA NA BISO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 766
- 792
Jana tarehe 4 Mei, 2025, imekuwa komfamed M23 sasa imelipokonya jeshi la serikali ya Congo, eneo la Lubero, huko Kivu kasikazini.
Jeshi la Congo (FARDC) limekemea vikali hatua ya waasi wa M23/RDF kuteka kijiji cha Lunyasenge kilichoko kando ya Ziwa Edward, katika wilaya ya Lubero, Kivu Kaskazini, mnamo Ijumaa Mei 2, 2025.
Taarifa ya msemaji wa operesheni ya Sokola 1, Luteni Kanali Mak Hazukay, imeitaja hatua hiyo kama ukiukwaji wa wazi wa makubaliano ya kusitisha mapigano.
FARDC imesema kitendo hicho kinatishia juhudi za kidiplomasia zinazoendelea, hususan katika mchakato wa amani wa Doha na Washington, na ikaonya kuwa itachukua hatua za kijeshi endapo tishio litaendelea.
Lunyasenge ni eneo la kimkakati kati ya Rutshuru na Lubero, karibu na Hifadhi ya Virunga, likiwa na rasilimali nyingi na njia ya kuelekea mpaka wa Uganda, jambo linalolifanya kuvamiwa mara kwa mara na makundi ya waasi.
Mara nyingi, M23 husema kuwa mapigano huanzishwa na jeshi la serikali linapovamia defense zake au pia ikiona jeshi la Congo na makundi mengine yenye siraha yanawabugdhi raia.
Hili limetokea wakati mazungumzo ya makubaliano yakiendelea huko Doha, Qatar, na Marekani ambapo mwezi ujao, Rwanda na DRC vinatakiwa kusaini makubaliano ya amani, mbele ya rais Trump.
========================================================
The Congolese army reacted sharply on Saturday, May 3, 2025, after the capture of the locality of Lunyasenge, located on the shores of Lake Edward, in the territory of Lubero (North Kivu), by elements of the M23/RDF.
This action on Friday, May 2, is described as an "intentional and flagrant violation of the ceasefire" by the Armed Forces of the Democratic Republic of Congo (FARDC), through a statement signed by Lieutenant Colonel Mak Hazukay, spokesman for the Sokola 1 Operational Sector Far North and Northern Front.
According to the statement, this advance by the M23/RDF calls into question the diplomatic efforts underway, in particular the peace processes initiated in Doha and Washington.
The army stresses that it "reserves the right to retaliate on all fronts" if the threat persists.This declaration marks a turning point in the position of the FARDC, which until now had been part of a logic of restraint in order to favor dialogue.
The recapture of Lunyasenge by the rebels risks leading to a military escalation in a region already weakened by months of conflict.
Lunyasenge is strategically located between the territories of Rutshuru and Lubero, along the corridor leading to Virunga National Park, an axis regularly coveted by armed groups for its natural resources and its access to the Ugandan border
Source: EKA News