Hii dunia ina maajabu yake, wakati wanawake wa Iran wanapigania wapate uhuru wa kuvua hijabu, wameibuka kundi la mabinti wa Azerbaijan wanalilia waendelee kuvaa hijab zao shuleni baada ya serikali kupiga marufuku mavazi yoyote ya kidini kwenye shule!
Kupumbazwa na dini ni jambo baya sana na la kusikitisha, inaharibu ubongo kabisa.