Kuna kundi hili la makoma hawa wakongo walikuwa wanaishi Belgium hivi bado wapo na maswala ya muziki au walishaachaga muziki maana Kuna nyimbo yao ya buti na moyi ilikuwa inanikosha sana japo siilewi mwenye ufahamu a nijuze
Sent using
Jamii Forums mobile app