Kundi la Makoma

Kundi la Makoma

Waliwahi Kuja Dar Nafikiri 2002.Kuna Wakt Walihamia Uholanzi. Kilichowaponza Ni Kuacha Kuimba Kilingala Na Kugeukia Kingereza. Waliharibu Sana.Mimi Nilivutiwa Sana Na Wimbo Wao Ktk Album Ya Kwanza Uitwao ''Mwinda''
 
Back
Top Bottom