Kundi la vijana ni kama mawingu ufuata upepo

Kundi la vijana ni kama mawingu ufuata upepo

Big Eagle

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2020
Posts
592
Reaction score
625
Vijana Kwenye Mikutano ya kisiasa ujitokeza kwa wingi kwenye kupiga kura kuchagua viongozi hawajitokezi kwa wingi.

Vijana wengi wanakimbilia kufanya kazi laini laini kama umachinga badala ya kufanya kazi ngum kama vile kilimo kwa sababu nikundi lenye nguvu
 
Yote 9, 10 ule umati wa leo sio vijana bali ni UVCCM
 
Back
Top Bottom