B Big Eagle JF-Expert Member Joined May 3, 2020 Posts 592 Reaction score 625 Jun 15, 2021 #1 Vijana Kwenye Mikutano ya kisiasa ujitokeza kwa wingi kwenye kupiga kura kuchagua viongozi hawajitokezi kwa wingi. Vijana wengi wanakimbilia kufanya kazi laini laini kama umachinga badala ya kufanya kazi ngum kama vile kilimo kwa sababu nikundi lenye nguvu
Vijana Kwenye Mikutano ya kisiasa ujitokeza kwa wingi kwenye kupiga kura kuchagua viongozi hawajitokezi kwa wingi. Vijana wengi wanakimbilia kufanya kazi laini laini kama umachinga badala ya kufanya kazi ngum kama vile kilimo kwa sababu nikundi lenye nguvu
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 29,028 Reaction score 69,666 Jun 15, 2021 #2 Yote 9, 10 ule umati wa leo sio vijana bali ni UVCCM
Political stability JF-Expert Member Joined Apr 7, 2021 Posts 906 Reaction score 1,401 Jun 15, 2021 #3 Sasa hizo kazi laini, kama zinaleta hela, tusifanye? Kwasababu ni laini
B Big Eagle JF-Expert Member Joined May 3, 2020 Posts 592 Reaction score 625 Jun 16, 2021 Thread starter #4 Political stability said: Sasa hizo kazi laini, kama zinaleta hela, tusifanye? Kwasababu ni laini Click to expand... Fanya
Political stability said: Sasa hizo kazi laini, kama zinaleta hela, tusifanye? Kwasababu ni laini Click to expand... Fanya