**** aliyekuwa anajua siri za CDM zaidi ya Zito na Slaa, waliondoka ila chama hakikupata tabu kihivyo.. unachekesheKundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.
Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.
Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
Ndio kunuka kwenyewe huko..hahaaUmenikumbusha ya Membe alisema niguse ninuke sijui kapotelea wapi.
Mnazungumzaga maneno Wala hamyaelewi ukiulizwa uelezee..na Wala hamnaga ushahidi wowote..mnajitungia tu story ili kujipa moyo ili wanachama wasikate tamaa..lakini nawaambia haiwasaidii..Kama ni kidonda, basi kinazidi kuwa kidonda ndugu walahBrother, je, kuhusu CCM kupendelewa na tume ya uchaguzi plus polisi, unasemaje kuhusu Hilo?
Yaani wao waombwe msamaha? Du!Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.
Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.
Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
Safari hii hakuna bunge wala wabunge bali kuna genge la wahuni lililoundwa na dikteta mmoja kwa kwa kutumia magenge mengine ya kihalifuKwahiyo chadema sasa hivi ina wabunge wangapi?
KwerZitto, Dr Slaa, Lowassa, Dr Mashinji etc... Walisema hivyohivyo etii wakiondoka hao siri na blablaa kibao eti CHADEMA itakufa! Brother, itikadi ya chama chochote Cha siasa iwe CCM au CHADEMA hujengwa ktk Mioyo ya wanachama wa kawaida tu.
Huo ni ushamba na ulimbukeni wa mawazo yaani akili mgando,kati yao na Dr.Slaa au Mashinji aliyekuwa na siri nzito nani,acheni kutapatapa njia ya muongo ni fupi endelezeni biashara za kununua watu,ila mwisho wake ni aibu,jumuiya za kimataifa zinawaangalia then wanacheka,nyie mnajiona wajanja kweliKundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.
Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.
Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
MKUU wewe hupendi wazimwage hizo Siri?leo umekuwa mtu wa kuipenda CDM isisambaratike?aisee,maajabu hayaishi na hayataisha tz...WAACHE WAZIMWAGE SIRI....MAANA WAKIZIMWAGA WASIPOZIMWAGA,MAISHA MAGUMU,YAPO PALEPALEKundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.
Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.
Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
Kuziba pengo lililotokana na Dr Slaa kuondoka ni ngumu sana.
Nami naomba nieleweshwe utaratibu wa kujiunga na chama cha CDM online. Nimefuragishwa na hatua ya kamati kuu kuwatimua hao waliosahau kuwa wameweza kuhadaiwa na ccm baada ya kuwa na umaarufu walioupata CDM. Nimekuwa mpenzi wa mageuzi nje tangu meanzo wa vyama vingi, sasa naona ni wakati wa kuingia kabisa na nimeamua iwe Chadema.Poleni ccm, covid19 ni ccm B, hongera CDM na Mwamba kutuvusha salama.Nataraji kutafuta rasmi kadi ya CDM karibuni.
Hakuna kitu kama hicho, hao na Dr. SLAA au Zitto Kabwe nani alikuwa na siri nzito za CHADEMA? Wataropoka tu na hakuna atakayewajali! Wamelikoroga na walinywe!!Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.
Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.
Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
Mkuu ingia google play store search CHADEMA Digital then uta-download app ya CHADEMA. Deal done mpaka hapo! Karibu mkuu sisi tulishatangulia utatukuta!!Nami naomba nieleweshwe utaratibu wa kujiunga na chama cha CDM online. Nimefuragishwa na hatua ya kamati kuu kuwatimua hao waliosahau kuwa wameweza kuhadaiwa na ccm baada ya kuwa na umaarufu walioupata CDM. Nimekuwa mpenzi wa mageuzi nje tangu meanzo wa vyama vingi, sasa naona ni wakati wa kuingia kabisa na nimeamua iwe Chadema.