Kundi la Wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno. Wakizibwaga, CHADEMA inasambaratika

Hujuwi kwamba tangu watoke hao uliowataja kimedodoke pua vya kutosha? Sasa ni kifo cha mende!!
Pole sana.
Nadhan wew ni mmoja wa watu ambao walifurahia JPM akisema covid imeisha wakati huohuo jirani yako amelazwa ICU kwa covid.

Unaonekana kushabikia kila jambo ilimradi limefanywa au kusemwa na CCM.

Rudi darasan kajifunze udadisi
 
Sasa wewe huoni kilichotokea kweye uchaguzi wa mwaka huu?
Hiyo K.O waliyopigwa CDM unafikiri ingefanikiwa Kama CCM isingekuwa na Siri nzito zinazoihusu CDM?

Tatizo la CDM huwa inakimbilia kufukuza wanachama wake pasipo kufanya udadisi wa tatizo lilipo.

Haya leo hii unawafukuza wanachama 19 pasipo kufanya uchunguzi wa kina watu wengine waliokuwa nyuma Yao.

CCM itaendelea kufaidika na kuwa imara Kupitia CDM maana inajua wazi kuwa Wanachama na Viongozi wa CDM huwa don't care pale wanapo poteza.
Maamuzi yale ni ya halali yaliyopitishwa na uongozi halali wa chama.
 
Sasa wewe huoni kilichotokea kweye uchaguzi wa mwaka huu?
Hiyo K.O waliyopigwa CDM unafikiri ingefanikiwa Kama CCM isingekuwa na Siri nzito zinazoihusu CDM?

Tatizo la CDM huwa inakimbilia kufukuza wanachama wake pasipo kufanya udadisi wa tatizo lilipo.

Haya leo hii unawafukuza wanachama 19 pasipo kufanya uchunguzi wa kina watu wengine waliokuwa nyuma Yao.

CCM itaendelea kufaidika na kuwa imara Kupitia CDM maana inajua wazi kuwa Wanachama na Viongozi wa CDM huwa don't care pale wanapo poteza.
Umeona ume comment mataga
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga Chadema inasambaratika

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi

Kamati kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi
Nafikili mkuu huijui system ya chadema, wewe ndo imetoka iyo, na ndo hivyo wameisha potea, huku ccm ukiendelea kuwa kituko Cha karne duniani kote, ccm wanaendelea kubariki yale vyama mbadala wanalalamika kuhusu uchaguzi, wamepigiwa ngoma na wameicheza vizuri mwafaa
 
Mleta Mada Umeshakunywa Chai?
Mbona Kama Ume Punic Na Kwi Kwi Nyingi
😁😂😀😅😄😃😃😁😂😂
Wataweza Kweli, Aaa Wapi? Kushindana Nasi!!! Aaa Wapi
Hata Wakiungana Sambugire Sambamba 😁😂😀😅😄😄😄
 
Hivi Tundu Lissu alivuliwaje ubunge mbona MATAGA hamkupaza sauti yani Jamaa wa Mirembe anasema hana taarifa za mtu aliyeshambuliwa makazi ya viongozi

Huyu Mdee si ndio mlisema alikuwa mtu wa "kupinga na mikesi" miaka 5 hakuna maendeleo aliyoleta Kawe sasa leo mmeona ni shujaa anahitajika bungeni!? Yaani Issue za Familia ya Jirani CCM mko concerned nazo hadi inajulikana mna interest na hao 19
 
Dr Slaa alimwaga siri kwani? usicheze na taasisi yoyote. Mwanasiasa yoyote alielelewa ndani ya Chadema anajua kesho au kesho kutwa anaweza kurudi kundini hivyo hana namna ya kuchunga kauli yake.

Silinde alisema atazunguka kote kuongea lakini wapi...Lijualikali alitoa adi machozi akasikika adi na Takukuru lakini wapi...hawa akina Mdee wataongea sana lakini it's too late.

Akina Kitila..Zito..Mwigamba...Msando...Kafulila lakini wapi.
Wanajua baada ya Magufuli kutoka Ccm maisha yatakua magumu sana lazima wachunge midomo yao.
Ona huyu nae alivyo mweupe kichwani kuhusu siasa.
Yani unataka mtu akiwa anatoa Siri aite conference ya Wandishi wa habari na kuanza kuzimwaga public kweli[emoji23].

Unajua Ushindi wa kishindo wa CCM umesababishwa na nini Kama siyo hao watu uliowataja kupeleka mbinu za upande wa pili.

Leo hii unaona Kama hao watu walienda tu kule burebure wakati chama chako kilishinda kiti kimoja tu Cha ubunge.

Wapambe na wafuasi wa CDM akili yenu ya kisiasa Ni ndogo Sana na ndo Maana CCM inaendelea na itaendelea kuwachezea kwa Muda mrefu Sana mpaka mtakapo anza kupata akili ya kudili na Mambo kwa Akili pana ya kisiasa.
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga Chadema inasambaratika

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi

Kamati kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi
Japo sishabikii mambo ya siasa lakini ingekuwa kuna siri nzito kiasi hicho sdhani kama chama wangewatimua wee unafikiri mbowe hana akili kiasi hicho
 
Sasa wewe huoni kilichotokea kweye uchaguzi wa mwaka huu?
Hiyo K.O waliyopigwa CDM unafikiri ingefanikiwa Kama CCM isingekuwa na Siri nzito zinazoihusu CDM?

Tatizo la CDM huwa inakimbilia kufukuza wanachama wake pasipo kufanya udadisi wa tatizo lilipo.

Haya leo hii unawafukuza wanachama 19 pasipo kufanya uchunguzi wa kina watu wengine waliokuwa nyuma Yao.

CCM itaendelea kufaidika na kuwa imara Kupitia CDM maana inajua wazi kuwa Wanachama na Viongozi wa CDM huwa don't care pale wanapo poteza.
Unachokisema K.O ni sawa na Maradona (R.I.P) kufurahia goli la mkono lililopelekea kuchukua WC.
Lakini alijua fika amefanya hujuma.
So mjinga flan ndio atahadaika na hiyo unayoita K.O[emoji2957]
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga Chadema inasambaratika

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi

Kamati kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi
Story tu,skandali zote za wizi,ufisadi wa ccm,ccm haijaanguka,Chadema itaendelea kuwepo,hayo madudu wanayaona wakishatoka chamani!?tumeishayazoea hayo,hao covid 19,ni Kama chewing gum,wakiisha utamu watatoswa tu,
Waliondoka makatibu wakuu Slaa,na Warid Kabolou,aksondoka
 
Zitto, Dr Slaa, Lowassa, Dr Mashinji etc... Walisema hivyohivyo etii wakiondoka hao siri na blablaa kibao eti cdm itakufa! Brother, itikadi ya chama chochote Cha siasa iwe CCM au cdm hujengwa ktk Mioyo ya wanachama wa kawaida tu.
very brave reply ..... great thinker
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga Chadema inasambaratika

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi

Kamati kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi
Vipi kuhusu MTU mkubwa kama Ndugai kuihusisha ofisi ya bunge na kugushi nyaraka?
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga Chadema inasambaratika

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi

Kamati kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi
Unashindwa kulewa yaani watu hawaipndi ccm tu,hata waongeeje wananchi watapotezea tu

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Toka lini CCM mmekuwa na mapenzi na wabunge wa CHADEMA?

Haihitaji akili kubwa sana kugundua hawa mnaowatetea kwa nguvu kubwa wana faida kwenu.

Cha muhimu wapeni mavyeo huko kwenu.
Bro, Dona kantri inaitafuta 2tr kwa udi na uvumba [emoji3]
 
Back
Top Bottom