Kundi la Wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno. Wakizibwaga, CHADEMA inasambaratika

Unachokisema K.O ni sawa na Maradona (R.I.P) kufurahia goli la mkono lililopelekea kuchukua WC.
Lakini alijua fika amefanya hujuma.
So mjinga flan ndio atahadaika na hiyo unayoita K.O[emoji2957]
Sasa wewe unafikiri Viongozi wa kisiasa wanapatikana kwa njia Safi tu Kama wanavyopatikana Viongozi wa dini?

Tatizo vijana wengi hamuijui siasa na ndo Maana kila siku mnakuja huku Jf kulialia.

Mwenye mbinu za akili ndo huwa anawinn kwenye mapambano ya siasa ziwe mbinu chafu au Safi.

Wahenga walisema; "siasa ni Mchezo mchafu"
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga Chadema inasambaratika

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi

Kamati kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi
Wewe ni miongoni mwa hao wabunge 19 wa viti maalum?

Unachimba biti as if CDM hawajui cha kufanya
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga Chadema inasambaratika

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi

Kamati kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi
Vipi ni agizo kutoka Chamwino? Kama tumeshajivua mbele ya macho ya jumuia ya kimataifa tutumie busara kuficha uchi wetu lakini siyo kwa ulaghai wa kijinga kama huo wa kufoji nyaraka ili kuhararisha wabunge wa viti maalumu!
 
Sasa wewe huoni kilichotokea kweye uchaguzi wa mwaka huu?
Hiyo K.O waliyopigwa CDM unafikiri ingefanikiwa Kama CCM isingekuwa na Siri nzito zinazoihusu CDM?

Tatizo la CDM huwa inakimbilia kufukuza wanachama wake pasipo kufanya udadisi wa tatizo lilipo.

Haya leo hii unawafukuza wanachama 19 pasipo kufanya uchunguzi wa kina watu wengine waliokuwa nyuma Yao.

CCM itaendelea kufaidika na kuwa imara Kupitia CDM maana inajua wazi kuwa Wanachama na Viongozi wa CDM huwa don't care pale wanapo poteza.
Kumbe sasa umetambua kuwa wamefukuzwa!!?!
Kweli mtaji wa CCM ni umasikini na ujinga.
Pole kwa kuwa masikini na mjinga.
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga Chadema inasambaratika

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi

Kamati kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi
Hivi wanaweza kuwa na siri kuliko Dr. Slaa au Zitto?

Halafu hao siyo wabunge wa chadema bali ni wabunge wa Covid 19 au wabunge wa TISS
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga Chadema inasambaratika

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi

Kamati kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi
Heading andika kundi la covid 19
 
Hata waseme nasiri zingine zaidi ya wanazo zijuwa au wameletewa na malaika wa viongozi yatakayo aminiwa ni maamuzi ya jana tu hayomengine hayatokuwa tofauti nahisia zawatu kama kuapishwa kwao kitu cha maana nakikubwa sana kwao nikuomba radhi tu pia wasisahau wanatumiwa kimkakati baada yapo kwisha kabisa niwengi wametumika baadae hubakia hovyo kabisa
 
Ona huyu nae alivyo mweupe kichwani kuhusu siasa.
Yani unataka mtu akiwa anatoa Siri aite conference ya Wandishi wa habari na kuanza kuzimwaga public kweli[emoji23].

Unajua Ushindi wa kishindo wa CCM umesababishwa na nini Kama siyo hao watu uliowataja kupeleka mbinu za upande wa pili.

Leo hii unaona Kama hao watu walienda tu kule burebure wakati chama chako kilishinda kiti kimoja tu Cha ubunge.

Wapambe na wafuasi wa CDM akili yenu ya kisiasa Ni ndogo Sana na ndo Maana CCM inaendelea na itaendelea kuwachezea kwa Muda mrefu Sana mpaka mtakapo anza kupata akili ya kudili na Mambo kwa Akili pana ya kisiasa.

Kwa hiyo unaona kabisa CCM imeshinda kwa kishindo uchaguzi uliopita kihalali kabisa. Bila msaada wa Mahera and his shenanigans..!
 
Hawa wanasiasa tangu lini wakatoa siri za mambo yao? Hakufanya hivyo Dr.slaaa kutoa siri za chadema wala Lowassa kutoa siri za ccm ambapo kuna watu waliamini ataweza hata kuzuia mbinu za wizi wa kura za ccm.
 
Sasa wewe huoni kilichotokea kweye uchaguzi wa mwaka huu?
Hiyo K.O waliyopigwa CDM unafikiri ingefanikiwa Kama CCM isingekuwa na Siri nzito zinazoihusu CDM?

Tatizo la CDM huwa inakimbilia kufukuza wanachama wake pasipo kufanya udadisi wa tatizo lilipo.

Haya leo hii unawafukuza wanachama 19 pasipo kufanya uchunguzi wa kina watu wengine waliokuwa nyuma Yao.

CCM itaendelea kufaidika na kuwa imara Kupitia CDM maana inajua wazi kuwa Wanachama na Viongozi wa CDM huwa don't care pale wanapo poteza.
sasa kupanga matokeo kunahitaji siri gani?
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
Fisiemu mnaumia nini wao kufukuzwa? Kama vp wapeni usajiti huko kwenu. Vp yule aliyewaapishia gerage ?
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga Chadema inasambaratika

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi

Kamati kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi
Wewe kweli hamnazo.
Siasa sio jeshi kuwa ukitoa siri utapelekwa mahakamani au utatupiliwa mbali..watu wanahama vyama vyao awe mwenyekiti awe katibu ..Taasis itabaki kuwa tassis tu.
Ukitoa siri ulizokuwa nazo mwanzo ukazipeleka kwa jirani -jirani hawezi kukuamini kukupatia siri zake kwa Sababu huaminiki.
Ama chama na ukae kimya.
Wambie hao wenzako wajifnze kwa Zitto kabwe alifukuzwa bado akaheshimu maamuz ya chama na akaendelea kuheshimu viongoz wengine .
 
Mnachekesha sana, mmebakiza nguzo moja ya ubatili, nayo ni Job kufanya ubatili aloufanya kwa akina Peter na wenzake.
Zaid ya hapo hamna jingine.

Ifike mahala mjitambue, mjue hakuna chama ndan ya nchi ya vyama vingi kinachoweza kushinda viti vyote vya ubunge kihalali, hakuna na haikaji kutokea.

Sasa hao wamefukuzwa, nenden mkabadilishe kanun za namna ya kuwapata wenyeviti na wajumbe wa Kamati za kudumu za bunge.
Nenden mkaunde kambi rasmi ya upinzani bungeni.
Nenden mkaunde baraza la mawaziri vivuli
Nendeni mkasafishe kwa mabwana zenu wanaowahonga pesa za miradi, utawala bora na demokrasia ambao mnawaita mabeberu[emoji23]

Mnashangaza si tu duniani, hadi mbinguni[emoji1787]
Fisiemu kweli na mbumbumbu sana, yaani waliiba kura mpaka wakasahau mambo ya msingi. Sasa wanakumbuka shuka kumekucha, inachekesha sana kuona wanatumia nguvu sana kurudisha upinzani bungeni ilihali walisema wanataka kubaki wenyewe
 
Sasa wewe huoni kilichotokea kweye uchaguzi wa mwaka huu?
Hiyo K.O waliyopigwa CDM unafikiri ingefanikiwa Kama CCM isingekuwa na Siri nzito zinazoihusu CDM?

Tatizo la CDM huwa inakimbilia kufukuza wanachama wake pasipo kufanya udadisi wa tatizo lilipo.

Haya leo hii unawafukuza wanachama 19 pasipo kufanya uchunguzi wa kina watu wengine waliokuwa nyuma Yao.

CCM itaendelea kufaidika na kuwa imara Kupitia CDM maana inajua wazi kuwa Wanachama na Viongozi wa CDM huwa don't care pale wanapo poteza.
Zamani nilikuwa nadhani wewe zinachaji, kufa kwa chadema unarefer uchaguzi mkuu wa mwaka huu[emoji848]
Hata mtoto mdogo anajua kilichotokea sembuse wewe.
 
hata sisi tuna siri zao. bastard.

chadema kimeshakomaa na kutokutishika na mambo ya kipuuzi-puuzi.
 
Sasa wewe unafikiri Viongozi wa kisiasa wanapatikana kwa njia Safi tu Kama wanavyopatikana Viongozi wa dini?

Tatizo vijana wengi hamuijui siasa na ndo Maana kila siku mnakuja huku Jf kulialia.

Mwenye mbinu za akili ndo huwa anawinn kwenye mapambano ya siasa ziwe mbinu chafu au Safi.

Wahenga walisema; "siasa ni Mchezo mchafu"
Hapa naweza sema umetumia akili kidogo
 
Back
Top Bottom