Kundi la Wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno. Wakizibwaga, CHADEMA inasambaratika

Kundi la Wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno. Wakizibwaga, CHADEMA inasambaratika

Acha ujinga jibu hoja,

Kama isingekuwa wana CDM hao mhimu waliohama na Siri za chama kwenda nazo CCM, CCM ingeshinda Ushindi huo na CDM ingeangukia pua namna hiyo?
Na bado 2015 Chadema walijifanya wajanja wakabeba wana CCM KIBAO AKINA MAMA AMBAO KAZI YAO ILIKUWA KUIBA SIRI ZA UCHAGUZI ZA CCM na kuwapelekea CHADEMA .Baada ya uchaguzi wakawazawadia ubunge viti maalumu

Safari hii Chadema naona wamepata mshtiko wa karne na bado

CHADEMA wajiandae kwa mshtuko mwingine
 
Wamama shupavu kabisa yaani muwape ruhusa then mnawageuka hii haikubariki.

Hawa Wamama historia itawakumbuka.
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
Ccm kwa nini mnawashwa washwa na mambo ya chadema
 
Aaah wapi cdm ni kiwanda cha kuzalisha vichwa. Underground wapo wengi Sana. Soon pengo lao linazibwa wanasaulika Kama dr Slaa.
Kuna vichwa Kama Yosefa Komba anaweza kazi vizuri.Cdm ni chuo tegemeo hata kwa ccm kupata vichwa
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
Wakati mwingine tuwe serious angalau kidogo katika comments zetu mbele ya kadamnasì
 
Sasa wewe huoni kilichotokea kweye uchaguzi wa mwaka huu?
Hiyo K.O waliyopigwa CDM unafikiri ingefanikiwa Kama CCM isingekuwa na Siri nzito zinazoihusu CDM?

Tatizo la CDM huwa inakimbilia kufukuza wanachama wake pasipo kufanya udadisi wa tatizo lilipo.

Haya leo hii unawafukuza wanachama 19 pasipo kufanya uchunguzi wa kina watu wengine waliokuwa nyuma Yao.

CCM itaendelea kufaidika na kuwa imara Kupitia CDM maana inajua wazi kuwa Wanachama na Viongozi wa CDM huwa don't care pale wanapo poteza.
[/QUOT
Yanga na simba hazijawahi tetereka kuondokewa na wachezaji
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
Nyie CCM ya chadema wapi na wapi? Mnaandika ushahidi kuwa mna jiingiza kusambaratisha chadema na chadema ngangari hasa, mmeshindwa. sisi tunawarekodi tu hayo maovu manyoyafanya. There is the time to cry, is approaching for you. enough is enough
 
Mnachekesha sana, mmebakiza nguzo moja ya ubatili, nayo ni Job kufanya ubatili aloufanya kwa akina Peter na wenzake.
Zaid ya hapo hamna jingine.

Ifike mahala mjitambue, mjue hakuna chama ndan ya nchi ya vyama vingi kinachoweza kushinda viti vyote vya ubunge kihalali, hakuna na haikaji kutokea.

Sasa hao wamefukuzwa, nenden mkabadilishe kanun za namna ya kuwapata wenyeviti na wajumbe wa Kamati za kudumu za bunge.
Nenden mkaunde kambi rasmi ya upinzani bungeni.
Nenden mkaunde baraza la mawaziri vivuli
Nendeni mkasafishe kwa mabwana zenu wanaowahonga pesa za miradi, utawala bora na demokrasia ambao mnawaita mabeberu[emoji23]

Mnashangaza si tu duniani, hadi mbinguni[emoji1787]
Unaliwa
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
hizo siri wazitoe tu watajua wenyewe na tamaa zao, mwamba wa kaskazini mh. mbowe ndo kashaamua hivo, hakuna namna imeisha hiyooooo.
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
Waambie wakachanganye na zile alizosema Paschal ziko kwa Mhe Lwakatare
 
Upinzani wa nchi hii upo ndani ya mioyo yetu hata aje malaika kuongea Siri za chama bado watanzania wataendelea kusimamia Imani yao
Kweli kabisa, na ndio maana Lissu alipotutaka tuandamane tulijaza mitaa na mabarabara yote ya YouTube, Facebook, Twitter na huku JF hata nafasi ya kusogeza mguu ilikosekana!

Nyumbu wakipeana story mitandaoni!
 
Sasa wewe huoni kilichotokea kweye uchaguzi wa mwaka huu?
Hiyo K.O waliyopigwa CDM unafikiri ingefanikiwa Kama CCM isingekuwa na Siri nzito zinazoihusu CDM?

Tatizo la CDM huwa inakimbilia kufukuza wanachama wake pasipo kufanya udadisi wa tatizo lilipo.

Haya leo hii unawafukuza wanachama 19 pasipo kufanya uchunguzi wa kina watu wengine waliokuwa nyuma Yao.

CCM itaendelea kufaidika na kuwa imara Kupitia CDM maana inajua wazi kuwa Wanachama na Viongozi wa CDM huwa don't care pale wanapo poteza.
Wameshajulikana
 
Wakitoa hizo siri itakuwa ni jambo jema kwa Magufuli na CCM yake, wewe endelea kumuomba Mungu hao wakina watoe hizo siri.
Hao wanachama wa kawaida wako wapi wewe? uliona mtu akiandamana pale yalipoitishwa maandamano? jana pia mlihamasisha watu wajae waandamane pale ufipa, ulihesabu ni watu wangapi walikuepo pale? hivi kwa haya mnayodai kufanyiwa ingekuwa ile CHADEMA ya Dr Slaa nchini pangekuwa shwari kiasi hiki? endeleeni kujifariji na multiple accounts zenu kwenye mitandao ya kijamii mkijitekenya na kucheka wenyewe afu mkiamini eti CHADEMA kina watu.
 
Ccm imezoea kuchukua makapi haya covid 19 hio angaikeni nayo. Soon watasaulika Kama slaa
 
Sasa wewe unafikiri Viongozi wa kisiasa wanapatikana kwa njia Safi tu Kama wanavyopatikana Viongozi wa dini?

Tatizo vijana wengi hamuijui siasa na ndo Maana kila siku mnakuja huku Jf kulialia.

Mwenye mbinu za akili ndo huwa anawinn kwenye mapambano ya siasa ziwe mbinu chafu au Safi.

Wahenga walisema; "siasa ni Mchezo mchafu"
Pole sana,
Nimepiga magoti ninamwomba Mungu akupe ujasiri ili uweze kumkataa huyo shetani aliyekutawala, pamoja mambo yake yote.
Watz tuanze kuthamini na kujivunia kutenda kwa haki na upendo kama tulivyokuwa enzi za Mwalimu.
Amen
 
Mwandishi wa hii makala ni kada wa ccm hivyo taarifa yake hii ni ya kupuuza tu. It's an utter rubbish.
 
Sikuamini kuwa ingefikia siku mataga wakawa watetezi wa upinzani.
Kweli kuishi kwingi ni kuona mengi[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wangapi walikuwa na siri nzito, utaaminikaje wakati huu kisa umekosa cheo? Kwanni usingepigana ndani ya mfumo? Kwann wakati wa kutoka ndio uanze kutoa siri za kambi? Kukiona hivyo zilikuwa zina kunufaisha sasa baada ya kuondolewa ndio una tapatapa una tafuta huruma

CCM wameondoka watu walikuwa wana siri nzito wakina Lowasa, sumaye, wakina shibuda etc... Una zungumza hawa wajumbe?

MTU hawezi kuwa mkubwa kuliko taasisi maisha... Watakuja watapita lakini taasisi itabaki
 
Sikuamini kuwa ingefikia siku mataga wakawa watetezi wa upinzani.
Kweli kuishi kwingi ni kuona mengi[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndipo nakeleka na wana CCM wenzangu kuwa watetezi wa haki za wapinzani ktk vyama vyao...

Yawezekana kufanya hivyo kuna faida zaidi kuliko kuto kufanya wanalo fanya...

Ukiwa na mamluki ktk chama cha mwingine ni rahisi sana kupata na kufanya uwezalo kwa wakati sahihi...

Najua walioondolewa bado wana watu wao ndani na siasa sio uhadui pia ccm bado inao watu wao huko ndani na itaendelea kupenyeza watu wao kwa manufaa ya ccm sio cdm

Kidumu chama
 
Back
Top Bottom