Mnachekesha sana, mmebakiza nguzo moja ya ubatili, nayo ni Job kufanya ubatili aloufanya kwa akina Peter na wenzake.
Zaid ya hapo hamna jingine.
Ifike mahala mjitambue, mjue hakuna chama ndan ya nchi ya vyama vingi kinachoweza kushinda viti vyote vya ubunge kihalali, hakuna na haikaji kutokea.
Sasa hao wamefukuzwa, nenden mkabadilishe kanun za namna ya kuwapata wenyeviti na wajumbe wa Kamati za kudumu za bunge.
Nenden mkaunde kambi rasmi ya upinzani bungeni.
Nenden mkaunde baraza la mawaziri vivuli
Nendeni mkasafishe kwa mabwana zenu wanaowahonga pesa za miradi, utawala bora na demokrasia ambao mnawaita mabeberu[emoji23]
Mnashangaza si tu duniani, hadi mbinguni[emoji1787]