Kundi la Wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno. Wakizibwaga, CHADEMA inasambaratika

Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
Usicho kijua ni kwamba Halima Mdee,Ester na Bulaya wanaenda kupata uwaziri , naibu waziri, ukuu wa mkoa na wewe MREMBO YEHODAYA unasubiri 7000/- na mshahara kutoka uhuru media
 
Zitto, Dr Slaa, Lowassa, Dr Mashinji etc... Walisema hivyohivyo etii wakiondoka hao siri na blablaa kibao eti cdm itakufa! Brother, itikadi ya chama chochote Cha siasa iwe CCM au cdm hujengwa ktk Mioyo ya wanachama wa kawaida tu.
Huoni haya yanayotokea sabubu ni haya ya kusema kwani fulani kaondoka na fulani kaondoka nini imetokea!! haya ndo matokeo yenyewe Leo chadema ingekua na group lote pengine leo wangekua wanazungumzia serikali mseto
 
Hapo hata Mbowe akileta zengwe kamati ikae imsikilize, akigoma out, upinzani upo moyoni, damuni, sio kufuata mkumbo
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
mbn ccm walitoka watu wengi sana tena wafuasi mashuhuri lakini bado imesimama?
 
Mbowe na genge lake wamemwaga ugali sasa tunasubiri Komando mdee na kundi lake wamwage mboga.Picha ndiyo kwanza limeanza tutamjua Stering au Adui ni nani kati yao
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
Hizo siri wakampe ndugai.
Kama ni mahusiano binafsi na yana la kuficha wao ndio aibu angalia hata kwenye biblia takatifu hakuna mwanamume kahaba ila mwanamke
 
Kumbuka hao watu Wana nguvu na mizizi ndani ya hicho Chama tutegemee mgawanyiko mkubwa haijawahi kutokea kuanzia ngazi ya Taifa hadi ngazi ya chino
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
Lolote litakalosemwa na hawa wabunge wa kikovidi 19 hatalisikiliza. Kwa nini waseme baada ya kukovidiwa?
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
Help them to spit the Vernon. Aliondoka Slaa sembuse hawa!
 
Matatizo ya wana CCM na viongozi wao ni kupenda bla bla. Hapa issue ni uhalali wa wamama kuapishwa kama wabunge. Hayo mambo ya siri nzito yanakujaje hapa.
Ndug wewe umesikiliza ya upande mmoja subiri majibu ya upande mwingine then utapima yupi mkweli kumbuka Mbowe ana historia ya ujanja ujanja ndiyo maana M/kiti wa kudumu wa Chadema
 
😳heee! Jamani sasa nishangae nini ? Kwani hata wafahamu mi ni nani ? Cool it off nigga !
 
Zitto, Dr Slaa, Lowassa, Dr Mashinji etc... Walisema hivyohivyo etii wakiondoka hao siri na blablaa kibao eti cdm itakufa! Brother, itikadi ya chama chochote Cha siasa iwe CCM au cdm hujengwa ktk Mioyo ya wanachama wa kawaida tu.
Hicho kikundi cha wahuni kimebaki kufanya uhuni
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
Hao wamefukuzwa kwa kuidharau kamati kuu (insubordination).
 
Kumbuka hao watu Wana nguvu na mizizi ndani ya hicho Chama tutegemee mgawanyiko mkubwa haijawahi kutokea kuanzia ngazi ya Taifa hadi ngazi ya chino
Nguvu ya mamba ni ndani ya maji tu
Nje ya hapo ni mwepesi kiasi cha kufukuzwa hata na mtoto wa miaka 3.
Nguvu yao ilikua ndani ya chama na chama ni watu sasa hao watu kwa asilimia 98 wamewakataa.
Kilichobaki kwao ni ulinzi wa kitengo tu.
 
Siri ipi? karudi Mzee Lowasa na chama limesonga itakua hao dagaa kamba?
 
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
CDM itabaki kuwa juu
 
Wewe Pimbi ndio umekuwa msemaji wa wasaliti ? Katiba ya Chadema unaijua we boya ? Haya kunywa sumu sasa .
 
Back
Top Bottom